Kuna umuhimu wa kuwepo siku ya hukumu?

Kuna umuhimu wa kuwepo siku ya hukumu?

Kacharimbe

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
216
Reaction score
35
Salaam wakuu
Nina kesi ya madai ya talaka.
Mimi ndiyo mdai ba kesi imefikia hukumu. Ilipangwa hukumu iwe disemba, mdaiwa akaleta udhuru na ikapangwa jana alhamisi ambapo mdaiwa akaleta tena udhuru kuwa anaumwa. Sasa hukumu imepangwa iwe Februari. Swali langu
1. Ni lazima niwepo siku ya hukumu? Je naweza kuomba kuwakilishwa na jamaa yangu
2. Ni lazima mdaiwa awepo siku ya hukumu?
3. Kwa kuwa naamini hakimu anayo maamuzi tayari, je kutokufika kwangu kunaweza kubadili maamuzi hayo?

Karibuni kwa msaada
 
Ww umeona imeahirishwa mara mbili kwa sababu ya mdaiwa kutokuwepo sasa na ww ukikosa tena inaahirishwa kama kawaida.
Mind you plz muda mwingine inakuwa ni technic ya mlalamikiwa na Hakimu wanataka ukate tamaa siku ukikosa tu hakimu anaifuta kesi, nimeshayaona hayo mara nyingi sana.
 
Back
Top Bottom