Msaada mimi ni mgeni kabisa kwenye biashara ,frame ninayo ninataka nianze biashara lakini haya mambo sijui ya TRA na TIN number ,naweza kutafuta sasahivi au badae? na wanafuatilia hata vibiashara vidogo vya uswahilini?
mil 1 .5 nguo za kike na watoto ndio ntaanza nazo