Single Digit
New Member
- May 4, 2023
- 1
- 0
Imekuwa kilio kisichokua na majibu miaka nenda rudi suala la mishahara ya walimu, pamoja na polisi katika kuboresha mishara yao. Japo Kuna watu wanasema inatosha ni sawa ila bado haitoshelezi ukilinganisha na kazi wanayo fanya kila siku. Hii husababisha Mambo mbali mbali mbali Kama;
Mikopo isiyo ya lazima kwa watumishi maarufu Kama (kausha damu). Kwa sasa hauwezi watenganisha baadhi ya watumishi na mikopo katika jamii wanazoishi kitu kinachopelekea kuishi maisha ya aibu mtaani kulingana na madeni waliyo nayo mitaani.
Unamkuta Hadi mwisho wa mwezi kitu pekee alichobakisha nikama elfu moja tu kwenye mshahara mzima hana chakufanya zaidi ya kukopa ili aweze kuendesha maisha yake pamoja na familia kitu ambacho ni ndoto kufikia maendeleo ya baadhi ya watumishi hivyo serikali yetu ifike sehemu ichukulie hili suala umakini na kuboresha maslahi yao ili kuleta maendeleo.
Ulevi, suala la maslahi kuwa madogo kwa watumishi huwafanya wengi wao kuona njia sahihi ni kulewa kupitia hata kile kidogo wanacho pata ili kuondoa aibu wanayo pitia huku mtaani kwahiyo iwe kazini iwe mtaani wengi wao wamelewa wakati jamii inategemeana matokea chanya kwake kitu kinachopelekea kuzolota kwa maendeleo kwenye hizi sekita hivyo kurudisha nyuma maendeleo ya nchi kwa Hali hii Kuna haja ya Mama wakati anaupiga mwingi pamoja na jopo lake sualaa la mishahara kwa Hawa watumishi wetu lipewe kipaumbele kwa maana huku mtaani wanatia huruma Sana sio Tena mifano Bora Kama tulivyotegemea.
Baadhi ya watumishi kugeuka kuwa Kama matapeli.kulingana na kipato kutokutosheleza kabisa kwa matumizi ya watumishi kulingana na majukumu waliyo nayo katika familia zao baadhi yao wameguka nakuishi maisha ya utapeli kwa maana wanadaiwa kila Kona la mtaa hivyo uswahili umegeuka kuwa moja ya sehemu ya maisha yao ya kila siku.
Badala Sasa wawe mifano Bora yakujivuniaa imebaki wao ndio wanatumika kama mifano mibaya katika jamii zetu hivyo kupoteza heshima katika jamii na mazingira wanayo fanya kazi kitu kinachorudisha nyuma ufanisi wa kazi zao kwa jamii kupoteza imani nao japo hata wao hawatamani kuishi hivo ila wanachopta hakitoshelezi hata kidogo kulingana na mzigo wa watu wanao wategemea.
Jamii kupoteza imani nao.Suala la mishahara kutokidhi mahitaji ya watumishi wengi wa serikali kwa ngazi za chini limepelekea jamii kukosa Imani nao kulingana na matendo yao hata ikitokea akatoa hoja ambayo ni mhimu bado watu hawatokubali kulingana na kukosa imani naye watahisi anatafuta njia tu kupata chochote ili afanye Mambo yake.
Ukiangalia vizuri maisha ya baadhi ya walimu na polisi huwezi ona hata umhimu wa hizo kazi wanazofanya Wala kusomesha mtu kwenye sekita hiyo sababu yanatia aibu sio kwake tu Bali hata kwa serikali tukufu ambayo anaitumikia sio maisha magumu tu hata mazingira anayo ishi sio ya mtumishi wa serikali yenye miaka 50 ya uhuru na aliyesoma Degree au Diploma.
Kuishi maisha ya umaskini ulio kithiri.Kwa Hali ya kawaida mtu akiwa mtumishi mwajiriwa wa serikali mtu yoyote agehitaji msaada kwake Ila Hali ilivyo kwa Sasa nitofauti baadhi yao wao ndio wanaomba misaada kwa watu inafikia sehemu mtumishi unatamani awepo kwe wanufaika wa Tasafu maana ana hali ngumu kushinda hata wanufaika wenyewe.
Baadhi ya watu wanaweza bisha ila tuweke hoja zenye tija Mfano mzuri limekuja suala la kikotoo kila mtu anapiga Fujo sio tu wazee wetu hata wale ambao utasikia anasema nikibaya hii yote kwa sababu mishahara haitoshelezi na Wana Hali mbaya Sana huku mtaani na watakufa mapema ikiwa hivo.
Hivyo igekuwa mishahara inatosha tusingesikia kelele zozote maana wagekua na akiba za kutosha. Hivyo Basi kipi kifanyike ili kuwanusuru baadhi ya watumishi na familia zao kwa ujumla wanao fanya kazi ngumu;
Agenda ya kuboresha mishara kwa watumishi Mfano Walimu, polisi pamoja na watumishi wengine ngazi za chini liangaliwe kama moja ya kikwazo kikubwa katika mipango ya kujenga Taifa letu tukufu la Tanzania.
Hakuna umhimu wa wabunge au viongozi wengine wa Nchi kulipwa mshahara wa zaidi ya millioni kumi(10), huku chanzo Cha ujenzi wa Nchi yetu unapoanzia ngazi za chini bado Hali sio rafiki nakuwa na matarajio makubwa yakufanikisha baadhi ya mambo Hawa watu.
Kwa sababu wao ndio wasimamizi kwa ngazi za chini za familia Mfano mtumishi analipwa laki nne na hamsini elfu(450000) na mtumishi huyo huyo anasimamia Mradi wa million mia tano(500,000,000) za serikali na unategemea Mradi huo ufanikiwe hiyo ni sawa nakumkumbuka mtu usiye mfahamu.
Kuboresha maslahi ya watumishi Hawa kwa ngazi za chini lisigeuzwe la kisiasa. Hii nikwasababu tu linahusisha maisha ya watu wanaotumikia Nchi yetu kwa umakini na weredi wakutosha naweza kusema muda umetosha kuliangalia nakuweza kulifanyia kazi kuondoa aibu zilizopo mtaani nakurejesha furaha yao naimani kwa jamii juu ya Hawa watu wanaoishi maisha yanipige tafu huku wakiwa watumishi na kama napo haiwezekani basi hakuna uhitaji wakuongeza hata wengine wakati waliopo tu hawana matumaini ya kesho hivyo Bora wabiki mtaani tu kwa sababu kazi zipo Ila ajira ndio hamna kikubwa turudi katika asili yetu ili kuepuka baadhi ya fedheha wanazo kumbana nazo ndugu zetu.
Mwisho kabsa japo sio kwa udogo Kama changamoto yakuboresha mishahara haiwezekani kwa kigezo Cha watumishi labda kuwa wengi na serikali kuwa na mzigo mkubwa basi Kuna haja yakupunguza baadhi ya watumishi wanaochukua Hera za walipa Kodi bila kufanya kazi ipasavyo wanachukua mishahara mikubwa lakini utendaji wao wakazi hauna tija kwa Taifa Zaidi yakukwamisha baadhi ya miradi ya serikali kupitia wao na usimamizi wao mbivu zaidi ya kuvimba tu maofisini kwao.
Suala la watumishi wengi kuwa na maisha magumu halihitaji mtu awe na degree kuliona zaidi ya kuja mtaani kuona Hali halisi ilivyo kitu pekee wamebaki kujivunia nikuwepo kwa michezo ya kubashiri ndio mkombozi pekee huku mtaani kwa ajiri yao maana kashakopa kila sehemu kabakiza pumzi tu.
Hivyo Kama Nchi yenye serikali sikivu nakupenda watendaji kazi wake kusiwe na watu wanaonekana Bora watumishi Bora zaidi ya wengine wanalipwa kufanyike tathimini ya kina kwa namna gani kuboresha mishara yao ili kupata Matokeo yaliyo Bora nakuepuka baadhi ya matukio ya aibu kwa watumishi Hawa sikivu wa Nchi yetu na kuepuka zile laana za wazungu kwamba ukizaliwa maskini utakua maskini maisha yako yote(If you born poor you will be poor and poor forever.

Upvote
2