Fredy John
New Member
- Feb 21, 2011
- 4
- 0
Ajira binafsi siku hizi zinamatatizo kweli, muda waprobation umekuwa mrefu mno hadi miezi nane, mkataba umestate baada ya probation utaongezwa mshahara ila ukidai vitisho na hadithi zisizokuwa na mwisho. Pia kuna umuhimu serikali kutunga sheria ya minimum wage rate inaccordance with education level and experience....Aisee hawa wawekezaji wanatuexploit kweli halafu wenzao wanawalipa vizuri hata kama elimu zao ndogo an ukiangalia wage difference ni kubwa mno japokuwa mnafanya kazi sawa.... Maoni wenu wanajf