sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Licha ya mataifa makubwa kama Canada, Uingereza, Australia, Ujerumani na mataifa mengine ya ulaya hayakupiga kura lakini Marekani ilipiga kura wazi wazi kuisapoti Israel kuendeleza operesheni za kivita ukanda wa Gaza.
Hali hii ilileta matokeo ya kura nyingi hasa kutoka mataifa ya kiarabu kuamua vita isitishwe huku mataifa machache akiwemo Mamrekani kutaka vita iendelee isisitihwe,
lakini ajabu ni kwamba hadi sasa ni kama wingi wa kura hauna uzito, Israel anaendelea operesheni zake huku akijua kabisa uamuzi wa UN ni kumtaka asitishe, Ni jana tu hapo Israel imesambaratisha msikiti mkongwe zaidi wa Gaza.
Ni kwanini Maamuzi ya kura nyingi yasiheshimiwe ?