Kuna update yoyote ya HESLB kuhusu postgraduate students waliiomba mkopo?

Kuna update yoyote ya HESLB kuhusu postgraduate students waliiomba mkopo?

GOSSO MZEKEZEKE

Senior Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
180
Reaction score
204
Habari JF,

Naomba kuuliza, kuna amesikia tamko lolote kuhusiana na wanafunzi walioomba mkopo wa HESLB kwa ngazi ya postgraduate? au kuna yeyote aliyefanikiwa kupata?

Maana naona kimya kimetanda na vyuo vimeshafunguliwa huku wanaoambiwa wasubiri ni diploma peke yao.

Tamko la mwisho nililolisikia ni khs shahada ya kwanza peke yake, ambalo walisema "Idadi ya wanafunzi wapya waliopangiwa yafikia 73,078.

Kufuatia kutangazwa kwa Awamu ya Tatu, jumla ya wanafunzi wapya wa shahada za kwanza waliopangiwa mikopo imefikia 73,078 na thamani ya mikopo yao ni TZS 210.8 bilioni."

Mwenye update yoyote naomba aniambie au kama nimekosa basi nijue.
 
Ninaingia ktk akaunti yangu mara nyingi, nina subiri sana hii kitu mia
Pole Mkuu, ila kwa Tanzania kufanya kazi online Taasisi nyingi hawawezi.

Walau Chuo Kikuu cha Dsm ndiyo wana jitahidi, ila Taasisi nyingi wamefeli kwenye e-government
 
Kwenye account walikuwa wanaonesha mpaka tarehe 10 lakini ni kimya kitupu na hata kwenye accounts zao social medias hawagusii kabisa suala la postgraduates.
 
Kwenye account walikuwa wanaonesha mpaka tarehe 10 lakini ni kimya kitupu na hata kwenye accounts zao social medias hawagusii kabisa suala la postgraduates.
Naona wanazifanyia kazi nasikia ZHESLB wao teyari, huku kwetu jana jioni akaunti zilikuwa hazifunguki kabisa, kwa sasa kile kipengele cha SIPA-Allocation halitoi final result
 
Naona wanazifanyia kazi nasikia ZHESLB wao teyari, huku kwetu jana jioni akaunti zilikuwa hazifunguki kabisa, kwa sasa kile kipengele cha SIPA-Allocation halitoi final result
vp, umefanikiwa kupata mkopo wa postgraduate? mimi bado sielewi maana nikiingia kwenye akaunti ya SIPA sioni chochote kipya, hawasemi kama nimekosa au nimepata, kauli yao ni ileile weight for the next stage..
 
Kwenye account walikuwa wanaonesha mpaka tarehe 10 lakini ni kimya kitupu na hata kwenye accounts zao social medias hawagusii kabisa suala la postgraduates.
kwa upande wako kuna chochote kinaendelea, mimi kwangu hakuna kipya.
 
HIVI KUMBE MIKOPO IPO KWA POSTGRADUATES.....HUWA NAWZA ADA NAONA BORA NIKOMAE KITAA...NARUDI SHULE
 
Vipi wakubwa kuna yeyote wa postgraduate (especially law school) aliyefikiwa?
 
Back
Top Bottom