DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Naomb kujua kama Chid Benz alivyokamatwa Dodoma..ameshapewa dhamana...au bodo yuko Conduct ..au yuko Jera.....we miss u Chid Benz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jera ndio GeLezani.Jera ndio wapi huko!!!
Jana walisema kwamba bado wanamshikilia na uchunguzi ukikamilika atapandishwa mahakamani akiwa na wenzake watatu akiwemo mpenzi wakeNaomb kujua kama Chid Benz alivyokamatwa Dodoma..ameshapewa dhamana...au bodo yuko Conduct ..au yuko Jera.....we miss u Chid Benz.
Ukimpulizia tu na upepo anaanguka unataka wamfanye nini?Huyo jamaa sijui kwanini wanamlealea wakati wanamkamata na vithibitisho, awekwe ndani mwaka akili irudi
Naomb kujua kama Chid Benz alivyokamatwa Dodoma..ameshapewa dhamana...au bodo yuko Conduct ..au yuko Jera.....we miss u Chid Benz.
Huyo jamaa sijui kwanini wanamlealea wakati wanamkamata na vithibitisho, awekwe ndani mwaka akili irudi
Sheria gani labda? Ebu vuta bangi hadharani kisha tukukute uone utakapopelekwa.kisheria ...watumiaji wakikamatwa wanapelekwa rehab...siyo jela
Sasa Wema mbona walimpeleka mahakamani ?kisheria ...watumiaji wakikamatwa wanapelekwa rehab...siyo jela