Kuna Urahisi au mbinu katika kubeti?

Kuna Urahisi au mbinu katika kubeti?

geekizuri02

Member
Joined
Oct 16, 2022
Posts
18
Reaction score
60
Hakuna kazi Rahisi, Kupata pesa inahitaji pesa. Kurisk pesa kiasi kwa mafanikio uko mbele sio kazi rahisi jamani… wenzangu na mie tunaobet tunaelewa hili kabisa. Unaweka mikeka 9 inapumua unaend kupika kaugali unashiba ukirudi tu hivi ni wewe pekee unaepumua tena kwa shida mno😆😂😂😂… Hamna janja janja ni kusoma na kuelewa masoko unaomba na bahat iwe upande wako🤲😓. Naombeni masoko ya uhakika hii leo nikabet tafadhali hali ni ngumu🥲
 
Hakuna option rahisi mkuu. Na hakuna sure odd 100%
 
Back
Top Bottom