njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Naam hali ni tete sana kwa simba kwani usajili unaoenda kutangazwa muda wowote huko jangwani si wa mchezo mchezo nchi itatikisika na utaacha vilio vikubwa sana hapo Simba.
Tajiri mwenyewe Ghalib anahusika hapa kwani amekuwa akimpigia simu muhusika na kukutana naye mara kwa mara hotelini.
Inasemekana atapewa milioni 60 , Vx na kupangiwa nyumba masaki kama alhaji albino, ama kwa hakika kitengo cha habari cha yanga kinaenda kuwa na makali yasiyo na mfano.
*Hongereni sana Yanga hapo mmelamba dume, huo ndiyo uongozi wenye uweledi chini ya Genius Senzo, wengine wakajifunze.
hapo bado sijazungumzia dau la millions 500 atakalopewa Diamond platnumz kuhamia yanga na kusherehesha week ya wananchi
******************************