KERO Kuna usumbufu wa foleni katika Ofisi za Ardhi Dodoma Jiji, uongozi ufanye namna kuondoa hali hiyo

KERO Kuna usumbufu wa foleni katika Ofisi za Ardhi Dodoma Jiji, uongozi ufanye namna kuondoa hali hiyo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hili jambo linasikitisha sana, unasubirishwa kwenye foleni saa kadhaa halafu majibu unapewa mafupi ambayo hayana msaada wa shida uliyoifuata, meanwhile wanakuzungusha bila kujua umetoka wapi? Umetumia nauli au haujatumia?

Hii ifuatiliwe na Wizara husika, tunachoshwa na wakati mwingine Watumishi wanakujibu kwa ghadhabu na majibu mabovu.

Wanasahau kuwa wao ni watoa huduma na sisi ni wateja wao.
 
Back
Top Bottom