Kuna utapeli wa kuambiwa umetumiwa mzigo lakini unaambiwa mzigo huo umetumwa eneo tofauti na ulipo

Hivi jamani huu utapeli wa mtu anasema amekutumia mzigo kutoka London halafu anakwambia upo kenya ni mimi tu niliona au kuna mwingine naye kauona?

Aliyekutana nao aniambie yeye ilitumika kampuni gani kwenye usafirishaji.
T Link Diplomatic Courier Service...ila nilijua kama ni utapeli nikawapotezea
 
Hivi jamani huu utapeli wa mtu anasema amekutumia mzigo kutoka London halafu anakwambia upo kenya ni mimi tu niliona au kuna mwingine naye kauona?

Aliyekutana nao aniambie yeye ilitumika kampuni gani kwenye usafirishaji.
Huu utapeli upo toka kitambo sana wanao fanya ni kenya wakijifanya wazungu wanataka kukutumia kitu.
 
Hivi jamani huu utapeli wa mtu anasema amekutumia mzigo kutoka London halafu anakwambia upo kenya ni mimi tu niliona au kuna mwingine naye kauona?

Aliyekutana nao aniambie yeye ilitumika kampuni gani kwenye usafirishaji.
Utapeli wa miaka ya 90 bado mnapigwa mpaka leo. Hakuna cha mzigo wala nini unapigwa kwa picha ya mrembo na kwamba kakutumua iphone, mac laptop and some jeweries
 
Kaka
Hivi jamani huu utapeli wa mtu anasema amekutumia mzigo kutoka London halafu anakwambia upo kenya ni mimi tu niliona au kuna mwingine naye kauona?

Aliyekutana nao aniambie yeye ilitumika kampuni gani kwenye usafirishaji.
Kaka hata mm nmekutana na huyo tapelii id ake anajiita shelby lannon facebook eti katuma laptop,iphone 15 pro na saa smart watch mzigoo nkapigiwaa simuu mzigoo upo Kenya etii ntume hela elfu hamsini na kitu aniagizieeee mzigoo apaa Tanzania😂😂😂😂😂

Nkasemaa the CON ARTIST TRIES TO ARTIST AN ARTIST......
nkaanza mpiga kiswahili wakaniblock yule mzungu na huyoo aliepiga simuuu
 
Huo ujinga nilishakutana nao Whatsapp nikapangua
 
Back
Top Bottom