Ashrafu joseph
New Member
- May 26, 2024
- 1
- 5
T Link Diplomatic Courier Service...ila nilijua kama ni utapeli nikawapotezeaHivi jamani huu utapeli wa mtu anasema amekutumia mzigo kutoka London halafu anakwambia upo kenya ni mimi tu niliona au kuna mwingine naye kauona?
Aliyekutana nao aniambie yeye ilitumika kampuni gani kwenye usafirishaji.
Huu utapeli upo toka kitambo sana wanao fanya ni kenya wakijifanya wazungu wanataka kukutumia kitu.Hivi jamani huu utapeli wa mtu anasema amekutumia mzigo kutoka London halafu anakwambia upo kenya ni mimi tu niliona au kuna mwingine naye kauona?
Aliyekutana nao aniambie yeye ilitumika kampuni gani kwenye usafirishaji.
Utapeli wa miaka ya 90 bado mnapigwa mpaka leo. Hakuna cha mzigo wala nini unapigwa kwa picha ya mrembo na kwamba kakutumua iphone, mac laptop and some jeweriesHivi jamani huu utapeli wa mtu anasema amekutumia mzigo kutoka London halafu anakwambia upo kenya ni mimi tu niliona au kuna mwingine naye kauona?
Aliyekutana nao aniambie yeye ilitumika kampuni gani kwenye usafirishaji.
Kaka hata mm nmekutana na huyo tapelii id ake anajiita shelby lannon facebook eti katuma laptop,iphone 15 pro na saa smart watch mzigoo nkapigiwaa simuu mzigoo upo Kenya etii ntume hela elfu hamsini na kitu aniagizieeee mzigoo apaa TanzaniaπππππHivi jamani huu utapeli wa mtu anasema amekutumia mzigo kutoka London halafu anakwambia upo kenya ni mimi tu niliona au kuna mwingine naye kauona?
Aliyekutana nao aniambie yeye ilitumika kampuni gani kwenye usafirishaji.
Huo ujinga nilishakutana nao Whatsapp nikapanguaKaka
Kaka hata mm nmekutana na huyo tapelii id ake anajiita shelby lannon facebook eti katuma laptop,iphone 15 pro na saa smart watch mzigoo nkapigiwaa simuu mzigoo upo Kenya etii ntume hela elfu hamsini na kitu aniagizieeee mzigoo apaa Tanzaniaπππππ
Nkasemaa the CON ARTIST TRIES TO ARTIST AN ARTIST......
nkaanza mpiga kiswahili wakaniblock yule mzungu na huyoo aliepiga simuuu
Utapeli wa miaka ya 90 bado mnapigwa mpaka leo. Hakuna cha mzigo wala nini unapigwa kwa picha ya mrembo na kwamba kakutumua iphone, mac laptop and
Ilikuaje au ndo hivihiviHuo ujinga nilishakutana nao Whatsapp nikapangua
hivyo hivyo mwisho unaombwa utume hela ili waweze kukufikishia, mi waliniomba laki 4Ilikuaje au ndo hivihivi
πππππHuu utapeli upo toka kitambo sana wanao fanya ni kenya wakijifanya wazungu wanataka kukutumia kitu.
Ndivyo hivyo unapelekwa kibra hapo utaambiwa utume pesa ya kutuna nzgo toka huko kuja tzIlikuaje au ndo hivihivi
Aiseeee πππhivyo hivyo mwisho unaombwa utume hela ili waweze kukufikishia, mi waliniomba laki 4
Nshamjuaaaa nkarukaaa hiyoo kamba ππππNdivyo hivyo unapelekwa kibra hapo utaambiwa utume pesa ya kutuna nzgo toka huko kuja tz
Si kama dr shika eti ela anahamishiwa bilions ila fee ya uhamisho anaituna kwa western union halafu watu humu wanaamini kabisa alikuwa CIA wakati jamaa anapigwaNshamjuaaaa nkarukaaa hiyoo kamba ππππ
Na ww ishaktokeaaaa nnπ’π’Imeisha hiyo.
Wapooo sema nmefuta screenshot nningewekaaa apaKuna wanaotapeliwa kwa njia hii?