Hajajibu kwa jazba ila huo ndio ukwel au unataka udanganywe.?
Navojua utaweza kupiga kwa rais tuu
Uwezi kupiga kura ambapo hujajiandikisha! Kila kituo kinakuwa na orodha ya wapiga kura wahusika! Kama ulikuwa unajua utahama kituo ulipaswa kubadilisha taarifa kwenda kituo kipya unacho hitaji!
Watu wengi mnashangilia tuu lakini taratibu nyingi hamzijui na wala hamkuzifata ndio maana mkiambiwa kura zimeaibiwa mnakuwa wepesi kuamini!
Mtu awezi piga kura kama hayupo kwenye orodha ya hicho kituo..... na hiyo orodha hata mawakala hupewa!
Mnajua kushangilia lakini taratibu hamzijui na ndicho kitakacho wakuta wengi wenu
Hasira ya bure, huyu alikuwa aipigie ccm lakini kwa kumfokea namna hii kama wanavyofanya wagombea wenu kwa wapiga kura wengine, kaghairi na kasema atasafiri aende pale alipojiandikisha kisha atamchagua Lissu.Uwezi kupiga kura ambapo hujajiandikisha! Kila kituo kinakuwa na orodha ya wapiga kura wahusika! Kama ulikuwa unajua utahama kituo ulipaswa kubadilisha taarifa kwenda kituo kipya unacho hitaji!
Watu wengi mnashangilia tuu lakini taratibu nyingi hamzijui na wala hamkuzifata ndio maana mkiambiwa kura zimeaibiwa mnakuwa wepesi kuamini!
Mtu awezi piga kura kama hayupo kwenye orodha ya hicho kituo..... na hiyo orodha hata mawakala hupewa!
Mnajua kushangilia lakini taratibu hamzijui na ndicho kitakacho wakuta wengi wenu
Angalia tena vzr ulichoandika na u-edit kbl cjasema umeandika utopoloHasira ya bure, huyu alikuwa aipigie ccm lakini kwa kumfokea namna hii kama wanavyofanya wagombea wenu kwa wapiga kura wengine, kaghairi na kasema atasafiri aende pale alipojiandikisha kisha atamchagua Lissu.
Sehemu pekee ya kutimiza wajibu wako ni katika kituo ulichojiandikishia, ndio kinataarifa zako zitakazokupa haki ya kupiga kura kwa diwani, mbuge na rais na si vinginevyo.Habari!
Swali langu ni hilo, napenda kuelewa ni namna gani au sheria za Uchaguzi zinaruhusu kwa upande wa Bara kuweza kushiriki uchaguzi kwa kumchagua Rais katika kituo tofauti na nlichojiandikisha? Mwaka huu ni wa historia kwa nina jambo langu langu hapo baadae 28 Oktoba, kwa hiyo kwa mazingira yangu na si mimi tu wapo wengi wameniagiza kuuliza hili itakuwa vigumu sana kufika jimboni kwangu.
NB: Nashiriki kwa mara ya kwanza Uchaguzi huu kwa kupiga kura, hivo nahitaji mwongozo sahihi maana elimu ya mpiga kura hakuna kabisa huku mtaani.
Uliendaje kuandika jina bila kupewa kitambulisho kipya mkuu??
Kwenye hayo maboresho ukibadili taarifa walikua wanatoa Voter’s ID card mpya nadhani
Utatakiwa kupiga kura kumchagua raisi ila sio diwani au mbunge wa hilo jimboMfano mimi kitambulisho changu nilipewa nikiwa eneo lingine lakini hilo eneo nikahama nikahamia sehemu nyingine na sehemu niliyohamia nikaenda kuandika jina kwenye daftari la wapiga kura.
Je siku ya kupiga kura nitaruhusiwa au sitoweza kupiga kura kutokana na kitambulisho kutokuendana na eneo husika?
Naomba ufafanuzi wadau.
Utatakiwa kupiga kura kumchagua raisi ila sio diwani au mbunge wa hilo jimbo