Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Je, kuna utaratibu uliotolewa na wizara ya elimu kupanga kiwango cha utoaji wa mchango wa chakula kwa shule za msingi uwe hivi kwa shule za serikali zote? Maharage dum la 3, mahindi dum la 12 na hela sh20,000 tena zitolewe kwa mara moja.
Kama ndiyo, Serikali haioni ni mzigo kulipa haya kwa mkupuo badala ya kuweka ktk awamu?
Kama ndiyo, Serikali haioni ni mzigo kulipa haya kwa mkupuo badala ya kuweka ktk awamu?