Yes atafute wateja ambao wako tayari kutumia hiyo app yake. Hii muhimu sana.Ajenge MVP kwanza, aanze na toleo dogo lenye core feature ili kupima kama watu wapo tayari kuitumia.
Asikimbilie kwenda TRA au BRELA wakati hana hata demo, kwanza atengeneze app, aipime sokoni, ikianza kuingiza fedha au kuwa na watumiaji wengi, ndipo utaratibu wa kusajili, kupata TIN (TRA), na leseni za TCRA (kama ni huduma za kifedha au mawasiliano) zitafuata.
Hakika, hili ni la msingi sana, asilipuuze hata kidogo.Yes atafute wateja ambao wako tayari kutumia hiyo app yake. Hii muhimu sana.
Lengo ni kua app ikishakua tayari kutakua na promotion+Matangazo. Je hiyo itafaa??Ajenge MVP kwanza, aanze na toleo dogo lenye core feature ili kupima kama watu wapo tayari kuitumia.
Asikimbilie kwenda TRA au BRELA wakati hana hata demo, kwanza atengeneze app, aipime sokoni, ikianza kuingiza fedha au kuwa na watumiaji wengi, ndipo utaratibu wa kusajili, kupata TIN (TRA), na leseni za TCRA (kama ni huduma za kifedha au mawasiliano) zitafuata.
Viwango hivyo ni vipi?Hauhitaji kwenda TCRA au Brela au wapi kuanzisha app, ukishadevelop wahusika wako ni playstore na app store,wao ndo wataikagua,ikifikisha viwango wanavyohitaji wao,inakuwa uploaded huko.
Naomba nitajie bei kama waweza fahamu tafadhaliKuna gharama za kulipia lakini na kwenye usajili kuna nyaraka watahitaji eg kitambulisho, playstore wana gharama zao na app store wana gharama zao so jiandae kwa hilo.
Ok.Kuhusu developer mzuri au kampuni ngoja wataalam wa IT waje kujibia hilo siwezi kukomenti chochote.
Ahsante kwa ushauri wako mkuu. BlessKuhusu kuibiwa wazo lako nadhani itabidi kuingia mkataba kisheria wa kukulinda wewe( hapa wanasheria wanaweza kuelezea kwa undani sio field yangu pia).
Hivyo vigezo ni developers ndo wanaweza kuelezea in deep ,ni mambo ya technical kidogo. Mimi nilishuhudia process ya mtu kutengeneza app hadi kuupload so nakumbuka tu hizo steps. Ukiwa unauupload ndo wenyewe watakwambia kipi kimetimia kipi bado.Viwango hivyo ni vipi?
Naomba nitajie bei kama waweza fahamu tafadhali
Ok.
Chief-Mkwawa Mwl.RCT watusaidie kwa hili
Ahsante kwa ushauri wako mkuu. Bless
Utoe matangazo wakati bidhaa watu hawaitaki? Mkuu unajua matangazo hata ufikie angalau watu 100 unahitaji kuwekeza kiasi gani? Sio poa. Hakikisha unapata wateja kwanza kabla ya kuanza,usirudie makosa yaliyofanywa na mamilioni ya watu duniani. Kama bidhaa yako watu hawaitaji hata ufanyeje hautoboi. Hata kina Mack Zuckerberg washachoma mabilioni kwenye products fulani na hizo products zikakosa wateja wakapata hasara.Lengo ni kua app ikishakua tayari kutakua na promotion+Matangazo. Je hiyo itafaa??
Sema hawa madeveloper wazawa huwa wanataja bei kama wamelewa, jiandae kisaikolojia unaweza lipa hela nyingi ukapata kitu cha hovyo!
Kuhusu kuibiwa wazo ni uoga wako tu, kila unachowaza kufanya watu walishafanya tayari!
Kusajili kampuni wakati hajapata wateja? Sipingi mawazo yako ila sishauri mtu afanye chochote kabla ya kupata wateja. Akikosa wateja ile hela aliyotumia kwenye usajili ndo imeenda hivyo.Wazo + SRS
Business plan
Sajili kampuni BRELA
Pata TIN TRA
Saini NDA na Development Contract
Tengeneza MVP
Test na watumiaji
Weka Play Store/App Store
Anza marketing
Fuata leseni maalum kama sekta yako inazihitaji (TCRA, BOT n.k.)