kuna utofauti gani wa kuwa "SIMP" na kuwa gentleman unaejali na kuwa romantic ?

Utofauti ni mkubwa sana
Simp ni mwanaume ambae tuseme kama ule wimbo wa Bushoke, anajali kupitia kiasi, yaani Hana mipaka na Huwa haangalii kama huyu mwanamke anaheshimu na kuthamini juhudi zake ni wale wanaume ambao wanawaweka mbele sana wanawake na kujisahau yeye nadhani ili m-cost MC pilipili hii

Gentleman ni mwanaume (ndoto ya wanawake wengi sana) Ni mwanaume mwenye heshima, adabu, na utu.
Anajali mwanamke lakini bado ana heshima yake mwenyewe.
Ana mipaka na misimamo, hawezi kujidhalilisha ili tu akubalike na mwanamke

Romantic ni wale wanaume ambao wanaonyesha mapenzi kwa njia ya mahaba

Mfano anaweza kukuvalisha Pedi, anakukis kwenye paji la uso ana kusogezea kiti mkitoka out and the likes
 
Why always women deserve less ukisoma hiki kitabu utakua mwanaume mwenye misimamo mikali utakuja kuteswa na mapenzi ukitongoza mwanamke akasema staki unaendelea na mambo yako bila hata kumwaza
 
nikipata mmoja wa kuni simp.. kuni gentle na kuniromantic aaah nitawasahu sana ndugu zanguπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ’ƒ

oooh nimesahau kumbe naota, hebu niamke nisije nikakojoa kitandani 🀣🀣🀣🀣
 
Hapo sio mmoja ni watatu tofautπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜…πŸ˜… sisi ndio tupo
 
Afu utakuta Kuna kanakokwambia nataka mwanaume aliye simp, gentleman and romantic wakati hata babaake Hana yyte ktka hzo sifa .
 
Why always women deserve less ukisoma hiki kitabu utakua mwanaume mwenye misimamo mikali utakuja kuteswa na mapenzi ukitongoza mwanamke akasema staki unaendelea na mambo yako bila hata kumwaza
Naomba pia Cha kuwapotezea wanaume akiamka asubuhi akikwambia it's over unajibu tu all the best

Nakitaka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…