Kuna uwezekano 20th July, 2024 Mike tyson akarudi Ulingoni kupambana na Jake Paul

Kuna uwezekano 20th July, 2024 Mike tyson akarudi Ulingoni kupambana na Jake Paul

Mufti kuku The Infinity

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
6,053
Reaction score
10,032
Mike tyson mwenye umri wa miaka 57, na Jake Paul mwenye umri wa miaka 27, wameonesha nia ya kuingia ulingoni na kuzichapa.

Una maoni gani juu ya huu mpambano, nani unampa karata yako ya ushindi?

Cc: Maghayo
images (51).jpeg
images (49).jpeg
 
kwa lile Tizi analopiga Mike Tyson akipigwa nitashangaa ila warabu saizi hawataki mchezo wamemrudisha Mike Tyson uringo kweli Pesa Sabuni ya Roho
 
Hata kama age gap ni 30 years, bado Nina imani na Tyson [emoji16]
naonaga clip zake za mazoezi yule mzee ana mwili mwepesi sana anarusha Ngumi kama Mvua na ulevi wote ule aliowahi pitia lakini fitness yake ni kubwa kiasi kile kweli nimeamini mazoezi ni Mtaji wa Afya ya Binadamu
 
Back
Top Bottom