Kuna uwezekano akapata mimba na hii tarehe?

usser

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
13,956
Reaction score
14,032
Wakuu msaada hapa Kwa wazoefu

Alimaliza period yake tarehe 8
Na akasex tarehe 16 je kuna uwezekano wa
Kupta ujauzto hapo maaana amesex
Sku ya 8 baada ya kumaliza cku zake
 
Wakuu msaada hapa Kwa wazoefu

Alimaliza period yake tarehe 8
Na akasex tarehe 16 je kuna uwezekano wa
Kupta ujauzto hapo maaana amesex
Sku ya 8 baada ya kumaliza cku zake
Ndiyo uwezekano upo hadi leo mkisex pia uwezekano fresh kuanzia kesho siku ya 18
 
Wakuu msaada hapa Kwa wazoefu

Alimaliza period yake tarehe 8
Na akasex tarehe 16 je kuna uwezekano wa
Kupta ujauzto hapo maaana amesex
Sku ya 8 baada ya kumaliza cku zake
Hii inakuhusu wewe au Inamuhusu Demu wako au Dada Yako
 
Ndiyo uwezekano upo hadi leo mkisex pia uwezekano fresh kuanzia kesho siku ya 18
Yy period yake alianza tarehe 4 mkuu co
Tarehe moja na akamaliza tarehe 8
Na tarehe 16 akasex hebu fanya hesabu hapo
 
Sasa shida ni nn mkuu????kama unawasiwasi tumia emergency contraceptive pills """
Waswas wang n kuwa skuona
wazungu wa pili kwenye kinga yan
Baada ya kutoa wa kwanza na kubadilisha
Kinga Sasa wazungu wa pili sku waona
Ndo Hof yang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…