joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hivi jamani mbona katika tafuta tafuta yangu, sijaona hata picha za moshi za hilo jengo likiungua, pale si kuna CCTV camera (refer tukio la makonda) , ila nina taarifa sio rasmi lkn inasemekana lile tukio limetengenezwa ili kusogeza mbele tarehe ya tukio la Fiesta