joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
wewe kijana ni wakufungiwa mara mojaHivi jamani mbona katika tafuta tafuta yangu, sijaona hata picha za moshi za hilo jengo likiungua, pale si kuna CCTV camera (refer tukio la makonda) , ila nina taarifa sio rasmi lkn inasemekana lile tukio limetengenezwa ili kusogeza mbele tarehe ya tukio la Fiesta
Hivi jamani mbona katika tafuta tafuta yangu, sijaona hata picha za moshi za hilo jengo likiungua, pale si kuna CCTV camera (refer tukio la makonda) , ila nina taarifa sio rasmi lkn inasemekana lile tukio limetengenezwa ili kusogeza mbele tarehe ya tukio la Fiesta
Wanaweza wakakutukana huku lakin hata mm nahis hvyo,,na wakisogeza nasi tunasogeza tamasha letu la bure,hyo inaitwa Mbwa kala MbwaHivi jamani mbona katika tafuta tafuta yangu, sijaona hata picha za moshi za hilo jengo likiungua, pale si kuna CCTV camera (refer tukio la makonda) , ila nina taarifa sio rasmi lkn inasemekana lile tukio limetengenezwa ili kusogeza mbele tarehe ya tukio la Fiesta