Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

Ujenzi Chatto, makao makuu Dom, ununuzi ndege cash' elimu bila ada, ujenzi meli, rada, fly over, mambo mengi ila kama Urais maana yake kukopa na kujenga unavyojisikia, ni tatizo!
Jibu kwa Takwimu sio propaganda. Tuko na inshu siliasi. ELIMU bila m alipo bajeti yake NI billion 130 kwa mwaka kwa miaka 5ni bilion 650. Flyover hazifikishi ata bilion 50. Hajaunda meli ata moja amekarabati tu zilizopo kwa pesa madafu. Nazani huijui tillion wewe. Tilion isikie tu.
 
 
Jibu Kwa HESABU kama mwenzako alivyotiririsha HESABU ZAKE. JE hiyo miradi unayosema HESABU yake Ina fika trillion 29??? Fahamu trillion moja ni billion 1000
 

Jikite Kwenye Mada
 
Ujenzi Chatto, makao makuu Dom, ununuzi ndege cash' elimu bila ada, ujenzi meli, rada, fly over, mambo mengi ila kama Urais maana yake kukopa na kujenga unavyojisikia, ni tatizo!
Elimu bila ada its easy and no changes sababu walimu ni wale wale wanalipwa mshahara ule ule hata kama elimu ingekuwa sio bure so hauhitaji kukopa trillions for that. Magu was not a good person dhurumati
 
Thread za Magu za kumchafua zipo nyingi sana mmetumana!!?
ww ile miradi unadhani wamejenga kwa buttock zako!
 
Duhh.... Hatari kwelikwelii. Em ngoja tuone.
 
Umejibu kishabiki sana. Inaonekana huna uelewa wowote. Aheri ungekaa kimya.

Hivi vihospitali na vizahanati vilivyojengwa wakati wa Magufuli ni gharama ndogo sana.

Hospitali zote na zahanati zilizojengwa wakati wa Magufuli, ukizijumlisha pamoja, gharama yake ni ndogo kuliko gharama zilizotumika kujenga hospitali moja tu kubwa iliyojengwa wakati wa Kikwete, kama ile ya Taasisi ya moyo ya JK au Mloganzila.

Maji hayakuvutwa toka ziwa Victoria bali yaliunganishwa kutoka yalipoishia wakati wa Mkapa na Kikwete. Wakati wa Mkapa ndiyo maji yalivutwa toka Ziwa Victoria. Wakati wa Magufuli ni matank tu na mabomba. Na maji yenyewe yameenda mikoa miwili tu, kwa maeneo machache sana.

Madaraja unayoyaongelea, ungepitia takwimu, ni pesa kidogo sana. Ukiondoa daraja la Busisi, mengine yote, hakuna hata moja ambalo gharama ya ujenzi inafikia bilioni 100.

Masoko na stand ni pesa kidogo sana, hakuna hata moja ambayo gharama yake inafika bilioni 100. Fikiria kwa mikoa kama 20, ukisema kila mkoa uwe na stand ya bilioni 25 na soko bilioni 25, jumla ya gharama yote kwa nchi nzima haizidi trilioni 1. Na hayo ni makadirio ya juu maana ipo mikoa haina stand wala masoko mapya.
 
Thread za Magu za kumchafua zipo nyingi sana mmetumana!!?
ww ile miradi unadhani wamejenga kwa buttock zako!
Hapa hatuchafui Wala kusifu mtu. Hakutaka watu wamkosoe akiwa madarakani ndio maana tutahoji Sana Sasa. Alafu alilofanya Kazi nao wapo. Kama tulikosea lazima tujadili tujue tulikosea wapi tujirekebishe Kama taifa. Tusiposema Mama atarudia makosa yaleyale
 
Wazee Wa Legacy Naona Unataka Ngoma Droo[emoji23][emoji23]
Hahahaha hawa jamaa wanalazimisha Mwendazake awe Saint. Hata kwa akili ya kawaida 10T ndani ya miezi 6 haiwezekani
 

Dr Mpango Mikopo ya tilion 29 kwa miaka 5 ulikopa Wewe au JPM?​

Kama mlishirikiana sale Watanzania mchanganuavwa matumizi yake.​

Pili umeona mwenzio katangulia mbele Za haki, anasemwa vibaya Wewe na Samia waelezeni watanzania fedha ziliko pelekwa.
 
Magufuli anakaribia mwaka ssa ila bado watu wanateseka
Ngoja mwenye macho ya kurembua tuone je hali itakuaje?
Maaana hali ilivyo huku mtaaani wanatani hata angekuwepo leo ingekuwa afadhali tofauti na hali ilivyo ssa
 
Sasaivi tunauliza za Magufuli kwanza. Za Samia tunazojua NI 1.3. lazma tuanze kujifunza kuhoji.
Kulia lia na yaliyofanyika wakati wa Magufuli hakusaidii kitu, yeye alisema anafanya kurekebisha yaliyotendeka kabla yake.

Rekebisheni yaliyotendeka wakati wake pia, kama aliiba kama mnavyosema, si mmewashangalia kina CAG na mama, watumieni kuthibitisha madai yenu, dola ni yenu, pesa hizo zilizokwapuliwa, ni ngumu kiasi gani kurudishwa? Amezikwa nazo? Waliobaki ni untouchable? Dhamira ya kupiga kelele ni nini ilhali mamlaka yote mnayo?

Fanyeni kinachostahili na dhamira yenu ya dhati itajitanabaisha, sio mnakopea vibopa kwa gharama za wanyonge kisha kujificha kwenye jina la mtu mmoja.

Dunia inasema mama amekopa dola 2.29bn ndani ya miezi 8 tu NA amesha-WATOZO wadanganyika mara kadhaa kwa idadi isiyojulikana, amewaachia wahalifu vibopa wote, amesimamisha miradi na mingine kuiua, ajira za wa-znz ni 21% kwa bara na kwa wabara kwenda visiwani 0% n.k
 
Hahahaha hawa jamaa wanalazimisha Mwendazake awe Saint. Hata kwa akili ya kawaida 10T ndani ya miezi 6 haiwezekani

Apo Mgao Nusu Nusu Na Zenji Meko Zake Zili Deal Na Bara Tu;
 
ukipiga hesabu na hivyo vitu ulivyovitaja haifiki trion 29
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…