Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

Miezi 9 tumekopa trilion 10 na tozo juu zimefanya kazi gani. Mpaka tukamalize miaka 10 kuna uwezekano wa kukopa trilion 100 na zaidi
 
Ndiyo maana ni muhimu kufanya auditing ya matumizi ya hii pesa. Huenda ipo nje ya Tanzania.
Nje ya nchi mbali na nchi za africa sidhani kwa kuwa haukuwahi kwenda huko,
Ila 100% zipo, wapi hiyo ndio issue sasa
 
Na
Hili swali lingekuwa zuri kama Marehemu Magu angekuwa hai lkn kwa sasa ni nosense.huwezi kumhukumu mtu ambae hayuko hai.mnaowajadili wafu mnakosea unless mnawajadili kwa mazuri yao lkn si kwa mabaya.kila nafsi itaonja umauti.
Rudi kwenye mada. Waliohoji wengi tu walipotezwa. Wengine walifukuzwa na wakabaki waimba nyimbo za mapambio na kuabudu. Kuna moja alihoji PhD yake tu Lakini hayupo leo. Tunajadili haya ili tujifunze na utawala uliopo uzuie makosa haya.
 
Ndio mjione mlivyo wapumbavu,aliyekwambia mikopo ni kwa ajili ya kujengea reli tuu ni nani? Unadhani Nchi inaongozwa kwa ajili ya reli tuu?

Mikopo iko ya aina nyingi na inaweza kutumika hata kwa ajili ya kulipia madeni mengine nk.
Kama unajua zilivyotumika shusha data acha longolongo. Uwenda hujui hesabu wewe. Na Kama mtanzania mzalendo lazma ujue nchi yako inavyooenda sio kuwa na ule uzalendo wa kijinga jinga. Upumbafu wa kutokuhoji au kukosoa mamlaka ndio uitwe uzalendo
 
Ni hatari
 
Wewe mjinga magufuli kakopa 29 t ndani ya miaka mitano, shangazi yako kakopa 10t ndani ya miezi nane
 

Ww ulilewa propaganda zake ndio maana unataja miradi kwa wingi bila kuweka thamani yake. Hapa tatizo sio wingi bali ni thamani. Sema mradi wa maji toka mwanza mpaka singida ni shilingi ngapi. Kisha uweke vituo vya afya nchi nzima ni vingapi na thamani yake ni ngapi. Maana najua vituo vya afya nchi nzima hata kama vingekuwa vimekamilika havikufika 500b. Sasa hiyo miradi uliyotaja weka thamani yake iendane na hiyo 29t aliyokopa. Nape alishagundua huo uizi ndio maana akataka ukaguzi wa fedha za mikopo. Lakini sukuma gang mkawa wakali maana mlijua legacy itapotea.
 
2025 yatupasa kufanya mabadiliko ya mfumo wa kiutawala kwa maslahi ya taifa na kizazi kijacho,, mafc sio watu wema kwa taifa hili, kwani wanaona pia kubadili Katiba itakuwa mwiba kwao,,, Watz tuu waoga sana, lakini Hawa jamaa hawachelewi kukupatia kesi za kusingizia
 
sahihi
 
Ujenzi Chatto, makao makuu Dom, ununuzi ndege cash' elimu bila ada, ujenzi meli, rada, fly over, mambo mengi ila kama Urais maana yake kukopa na kujenga unavyojisikia, ni tatizo!
Bado haifiki 29Trilioni
 
Hoja hii ifungamanishwe na madai ya katiba mpya.

Kufanyike total audit kwa mapato na matumizi yote katika awamu ya tano.

Pesa zote zifahamike zilikwenda wapi na hatua stahiki kuchukuliwa.
Bila katiba Bora Katiba Mpya tutaendelea kupigwa sana watanzania
 
Ujenzi Chatto, makao makuu Dom, ununuzi ndege cash' elimu bila ada, ujenzi meli, rada, fly over, mambo mengi ila kama Urais maana yake kukopa na kujenga unavyojisikia, ni tatizo!
Zaid ya ujenzi wa chato

Fly over tazara ni msaada Japan pesa alipokea kikwete

Elimu bila ada inafadhiliwa na mabeberu

Fly over ubungo pesa za benk ya Dunia kupita DMDP ilisainiwa na kikwete 2013

Toen maelezo hizo pesa mmepeleka wap

Daraja la Tanzanite msaada south korea
 
Aliyoyafanya kamwe hayawezi kumaliza Trilion 29 afu hata hivyo miradi kibao tu kaacha haijamalizika sasa pesa alipeleka wapi?

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
 
Ndugai billioni 29. Kagame 1.5T kwa ujumla walikuwa wanagawana

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…