Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

Vita ya nini sasa? Toa hoja acha matusi. Kama haukunielewa kwa mfano huo rahisi basi nakuacha. Mimi na wewe tuko level tofauti sana.
Unatumia nguvu sana kujishawishi mwenyewe kwamba hayati hajafanya kitu?... Hii roho inayokuandama nitakuombea.

Ila uwanaj wa chato na hospital ya chato naamini utaziona tuuu.
 
SSH amekopa 10trl kwa miezi 6, mnajaribu kutetea huu ujinga?
Amekopa ili kuendeleza legacy...SGR,Bwawa la Umeme Rufiji, na projects zingine na akikopa anasema pesa ni kiasi gani na zimeenda wapi...si unajua asipoendeleza hizi project mtachonga sana, lakini pia hizo pesa zilizowekezwa hapo project zisipomaliziwa tutakuwa tumepoteza pesa.
 
Mshumbusi ukipata majibu unisitue tafadhari
 
Hili swali liliulizwa na Mh.Nape bungeni hakupata majibu yanayoeleweka.
CAG anatakiwa achungulie,
tunahitaji kujua value for money.
JPM na Mpwa wake wamepiga parefu
Mimi nahisi ukijua chimbo la mwendazake Dunia inaweza tetemeka
 
Hata tukiwa wanyenyekevu habari ndo hiyo!

Ujenzi Chatto, makao makuu Dom, ununuzi ndege cash' elimu bila ada, ujenzi meli, rada, fly over, mambo mengi ila kama Urais maana yake kukopa na kujenga unavyojisikia, ni tatizo!
Hebu tuweke kiswahi vizuri, Sasa wewe unatetea mikopo alafu unasema tukinunua ndege cash nashindwa kuelewa. Kumbe ndege nazo tulinunua kwa kukopa alafu mnatudanganya mlinunua cash
 
Zile hela alizokuwa anagawa njiani na kununua viongozi wa dini na upinzani ndiyo hizo
 
Ujenzi Chatto, makao makuu Dom, ununuzi ndege cash' elimu bila ada, ujenzi meli, rada, fly over, mambo mengi ila kama Urais maana yake kukopa na kujenga unavyojisikia, ni tatizo!
Hoja ya mtoa mada so vitu vilivyofanyika bali gharama/thamani ya vitu hivyo inalingana na hizo trllion 29 plus makusanyo ya kodi? of course ongeza matumizi ya kawaida ya serikali
 
Jenga hoja ndugu. Rejea kwa aliyeanzisha huu uzi. Kila kitu kimendikwa thamani yake lakini haikaribii hata nusu ya pesa aliyokopa Mwendazake. Kama una hoja iweke hapa. Usitumie rungu. Weka hapa vitu alivyofanya na thamani yake. Hoja haijibiwi kwa vita. Wewe umesema vita, Nyerere alisema rungu.
Unatumia nguvu sana kujishawishi mwenyewe kwamba hayati hajafanya kitu?... Hii roho inayokuandama nitakuombea.

Ila uwanaj wa chato na hospital ya chato naamini utaziona tuuu.
 
Hebu tuweke kiswahi vizuri, Sasa wewe unatetea mikopo alafu unasema tukinunua ndege cash nashindwa kuelewa. Kumbe ndege nazo tulinunua kwa kukopa alafu mnatudanganya mlinunua cash
We bwana uliambiwa, ndege atukopi, hadi leo hatuna mpango wa kukopa ndege!
 
Ndio mjione mlivyo wapumbavu,aliyekwambia mikopo ni kwa ajili ya kujengea reli tuu ni nani? Unadhani Nchi inaongozwa kwa ajili ya reli tuu?

Mikopo iko ya aina nyingi na inaweza kutumika hata kwa ajili ya kulipia madeni mengine nk.
We msengerema leo umeongea point.
 
Au ameshayarudia tayari. Si nasikia nae ananunua ndege kwa fedha taslimu! Fedha /mkopo wa covid unajenga shule na zahanati na fedha za tozo nazo zinajenga kitu kile kile!
 
Serikali ndiyo ilikopa siyo Magufuli
Hayo maswali anaweza kujibu rais aliyekuwa makamu na makamu wa rais aliyekuwa Waziri wa fedha
 
We bwana uliambiwa, ndege atukopi, hadi leo hatuna mpango wa kukopa ndege!
Lamda sijaelewa vizuri lakini kama mh alikopa hizo trl 29 kwa wakati tofauti lakn alipoenda huko Canada akalipa cash kwa pesa aliyokopa sehemu nyingine hv hatuwezi kusema kuwa ndege tulikopa?
 
Ni ujinga tu wa baadhi ya wana ccm kuimba zahanati kila kijiji, kama vile vijiji wanavyo maanisha si vile tunavyo ishi.
Ujinga mkubwa ni kuwakubali CCM wote, bila serious check and balance. Kukubali matumbo yatutawale.
 
Weka gharama /thamani kwa kila mradi - hapo utakuwa umejibu hoja, lakini ukiacha wazi watu watajaza figure na itaonekana majibu hayatoshi, Bahati nzuri umeshapewa kuwa the total has to be at least 29tr.
 
Namimi nimewatajia sehemu tu ya matumizi ukiacha mengine kama madawa ya hospital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…