Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

Issue ni kwamba.. Kama ni Mkopo umepokelewa lini?

Maana hata Bwawa la Umeme nalo ni wazo la Nyerere
Sizungumzii wazo, nazungumzia kutafuta fedha na kusaini mradi ili uanze rasmi.

Haiwezekani mradi ubuniwe na mtu X, utafutiwe fedha na mtu X halafu ukamilike wakati wa mtu Y kisha uje useme eti ni achievement ya mtu Y

Ndiyo maana uwanja wa Mpira wa Benjamin Mkapa ulianza ujenzi wakati wa Mkapa ukakamilika wakati wa Kikwete lakini credit tunampa Mkapa na si Kikwete
 
Naingia ndani kwanza theruji inamwagika sana leo. Wazee wa "regasi" wakikujibu niite.
Katika Tanzania baada ya Uhuru ni Mwl. Nyerere na Mwl. Dk. Magufuli ndio walioacha alama zisizoweza kufutika nchini. Labda wafuatiwe na Che Nkapa. Wengine waliobaki watatumia mikopo na waandishi uchwara kuwapamba, lakini hawatafua dafu.
 
Katika Tanzania baada ya Uhuru ni Mwl. Nyerere na Mwl. Dk. Magufuli ndio walioacha alama zisizoweza kufutika nchini. Labda wafuatiwe na Che Nkapa. Wengine waliobaki watatumia mikopo na waandishi uchwara kuwapamba, lakini hawatafua dafu.
Kama zipi? Mkapa aliacha nini ambacho Kikwete hakuaacha. Na Magufuli ameacha nini ambacho waliomtamgulia au Samia hataacha. Ni Rais gani tangu uhuru aliyewahi kutatua tatizo la "second selection"? Ni Rais gani aliyewahi kujenga madarasa 18000 katika miezi 9 ya kwanza ya uongozi wake?
 
Basi wewe mada yako si ya hapa. Hapa ni mkopo. Mambo ya Credit upo sahihi.
 
Ndiyo maana ni ujinga kutofautisha serikali katika kukopesha kwa sababu miradi mingi ni endelevu..hata miradi mingi ya awamu ya nne imelipwa awamu ya tano kama mama anavyopambana kulipia miradi iliyoanza awamu ya nne na tano.kulipia maana yake Anaweza kukopa mambo yakaenda ...
 
Well said lazima watanzania wapewe breakdown ya mkopo huo.
Mipango aliyekuwa Waziri wa fedha yupo
 
Hii ni point sana
 
Mikopo ya trilioni 29 ? Hebu tupe ufafanuzi hiyo trilioni 29 imefikaje

Hatua kwa hatua tupe ufafanuzi tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…