Uchaguzi 2020 Kuna uwezekano Magufuli hatafanya kampeni Uchaguzi wa 2020

Sawa mwambie ben saanane yuko wapi na PhD yake feki bado anaitumia?

Sent using Jamii Forums mobile app
We una ushahidi gani kama Ben Saanane alichukuliwa na JPM,afu u ajua Watanzania mda mwingine tunajitakiaga matatizo ambayo hayana msingi tunaanza kusingizia kuwa hakuna demokrasia,hivi mfano hapo tu ukakamatwa kwa maneno uliyoyatamka kwamba ukatoe ushahidi kwa ulichokiongea utasema nini wewe zaidi ya kusema unaonewa kumbe wewe ndo hutumii akili.

hardworking pays
 
Sema usemavyo, mdhihaki unavyojua na mchukie uwezavyo ila Kikatiba na Kimamlaka Dkt. John Pombe Joseph Magufuli huyo ndiye Rais wako wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama nchini. Nimemaliza.

Hayo madaraka uliyoyataja sina ubishi nayo lakini habari ndio hiyo.
 
Kwani akikamatwa anaenda kuhojiwa kudhibitisha au anaenda kupigwa ili kutiwa adabu. Kikija chombo huru wala haichukui dakika 10 kila kitu kitakuwa mezani.
 
Yeye atasema nini kuhusu Saanane

Uko kivitisho zaidi, kwani mpaka sasa serikali wamesema nini kuhusu saa 8 maana ndio wenye jukumu la kusema kuhusu raia aliyepotea. Ndio maana nakuambia akichukuliwa haendi kuhojiwa zaidi ya kwenda kupigwa, ila kikija chombo huru atakuwa na cha kusema na majibu stahiki yatapatikana. Usipoteze muda wako kuweka vitisho kwa huyo jamaa maana hilo suala halijakaa vizuri.
 
YOU HAVE SAID IT ALL (BUT I DARE TO SAY ITS ONLY FOR THE GREAT MINDS)

YOU HAVE SAID IT ALL (BUT I DARE TO SAY ITS ONLY FOR THE GREAT MINDS)

Hayo madaraka uliyoyataja sina ubishi nayo lakini habari ndio hiyo.

Bado hujachelewa pia kuhama nchi kama unaona Awamu ya sasa ya Tano ( 5 ) ni Kikwazo Kwako na utuachie ambayo tunaipenda na tunaiamini hasa kwakuwa inaongozwa na Jembe, Jemedari na Shujaa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
 
Sema usemavyo, mdhihaki unavyojua na mchukie uwezavyo ila Kikatiba na Kimamlaka Dkt. John Pombe Joseph Magufuli huyo ndiye Rais wako wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama nchini. Nimemaliza.
Umisahau na kile cheo chake maarufu 🙄
 
Bado hujachelewa pia kuhama nchi kama unaona Awamu ya sasa ya Tano ( 5 ) ni Kikwazo Kwako na utuachie ambayo tunaipenda na tunaiamini hasa kwakuwa inaongozwa na Jembe, Jemedari na Shujaa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

Nihame kwani niko hapa nchini kwa maamuzi yake? Sio kuipenda na kuiamini tu, unaweza kumpa hata mkeo akaishi naye. Na kuheshimu pls usitake tuharibu mada, mimi sio hao mapoyoyo unaowavaa kichwa kichwa.
 
Nani unayemtisha ' Pimbi ' Wewe? Hivi umeshawahi Kuona Mwanamume kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) anatishwa na anatishika hasa na ' Mapopoma ' wachache kama Wewe? Kama vipi naomba Mimi nawe tulianzishe hapa ili nikunyooshe vizuri ' Boya ' mkubwa Wewe. Kwahiyo unataka umseme na umdhihaki vibaya Rais wangu wa nchi na Mwenyekiti wangu Taifa wa Chama changu cha Mapinduzi ( CCM ) Dkt. John Pombe Joseph Magufuli halafu Mimi nikunyamazie tu? Kwakuwa nakuogopa sana au? Kwenda huko tena kuwa makini mno nami usije ukaichukia zaidi hii ' ID ' kama ' Wapuuzi ' wenzio kadhaa.
 
Eti atakuwa na cha kusema na majibu stahiki yatapatikana" huyo unae mtetea anajua chochote kuhusu saa8 na kumpakazia JPM kama viongozi wake mpaka leo hawajui sembuse yeye

hardworking pays
 
"Huwa siyo rahisi kumshinda Raisi aliye madarakani katika uchaguzi (incumbent President) hata awe ameboronga kivipi. Ni kazi ngumu sana hata kwenye nchi zenye demokrasia iliyokomaa". Nukuu ya maneno yako. Usilinganishe afrika na wenzetu yaani dunia ya kwanza. Tujilinganishe na wa hapa hapa kwenye bara letu
 
Mwanaume toka Mara? Maboya ndio huwa wanatishwa na hiyo mikwara ya kipeasant kama hiyo. Jichanganye na mimi udhani mm ni chakula kama ww. iD yako ina nini udhani nina muda wa kuichukia nakuona muuza face tu kama wauzaji wengine. Kama unamshobokea mshobokee kimpango wako.
 
Hilo suala nimelijibu kiujumla kwenye post #14. Aliyelinganisha ni mtu mwingine.

Nadhani kwa kusisitizia point hiyo wewe na yule mwingine hamjaelewa nilichokisema wakati nilidhani nimekielezea vizuri tu.
 
Nimekutekenya kidogo tu lakini ulivyo ' Nyali ' angalia jinsi unavyotokwa na ' Mapovu ' namna hii. Pole sana hadi nakuonea huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…