pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Hayo yamependekezwa na mshauri wa ufundi wa Argentina fc kupitia wizara ya michezo na burudani baada ya kuona kiwango cha messi na wachezaji waandamizi wakishindwa kuifunga hata saudi arabia huku upande mwingine mayele akizidi kutupia kila mechi zaidi ya goli moja au mbili.
Ingawa haijathibitishwa lakini kuna uwezekano mkubwa wa mayele kupewa uraia na argentina hasa kama messiy atashindwa kufunga mechi ijayo, macho na masikio yetu yote yapo huko kila la heri mwamba
Ingawa haijathibitishwa lakini kuna uwezekano mkubwa wa mayele kupewa uraia na argentina hasa kama messiy atashindwa kufunga mechi ijayo, macho na masikio yetu yote yapo huko kila la heri mwamba