Kuna uwezekano mkubwa Abdul akawa na sauti kuliko makamo wa rais na waziri mkuu

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Ukitoa wakuu wa majeshi , kuna uwezekano mkubwa abuduli licha ya kutokuwa na uongozi wowote serikalini akawa na sauti na mamlaka na akasikilizwa anachokitaka hata kwa kulazimisha kuliko makamo wa rais na waziri mkuu.

Nchi imefika pabaya sana.

Ngoja tuone mwisho wa haya yote.
 
Hakuna kitu kibaya ......kama ukinunuliwa....unakuwa mtumwa na mdomo koma kaa kimya ......tumekupa 1bil tulizana tufanye yetu......
 
Ni kweli na tumeyataka haya ukiangalia mambo yanavyoenda sasa wasaliti wengi wa magufuli wanakiona cha mtema kuni yani malipo ni hapa hapa ti lisu alishirikiana na wana cm kumsaliti mzee Magu leo hii kimemramba mwenyewe na wengine wengi Tu ni miaka ya kishetani mpaka iishe bas tumekoma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…