Kuna uwezekano mkubwa 'sperm' kuwa na sumu ambayo huaribu ubongo wa anayemwagiwa

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Naomba kuuliza GT mlioko humu.

1. Kwa nini mwanaume rijali kabisa ikitokea kwa bahati mbaya au kwa kutaka yeye aingiliwe kinyume- hata awe baunsa vipi lakini punde tu akimwagiwa "sperm" akili huanza kubadilika na kuwa mapozi ya kike?

2. Kwa nini binti akiwa bado kigori huwa ni shupavu na saa nyingine huaminika sana na wazazi na waweza mtuma mambo makubwa akayafanya kwa kujiamini tena huwa na nguvu lakini punde akianza kumwagiwa huu "ugirigiri" mtoto huwa hakamatiki tena?

3. Naendelea kuuliza kwa nini mtu akilawitiwa hulazimika kupigwa bomba hospitali (kusafishwa)?

4. Bado nahoji kwa nini wanawake wengi wakianza mapenzi hulegea na saa nyingine hata maamuzi ya kuvuka barabara kwao huwa ni kama watoto yaani waweza kumpigia honi apishe njia lakini utashangaa badala ya kusogea tu yeye atatoka kulia pembezoni avuke kuja kushoto Mara arudi yaani kama watoto " hii huanza punde tu akianza kumwagiwa note! Si wote lakini asilimia kubwa!

5. Kwanini ma shoga ni vigumu sana kuachana na tabia hiyo wakianza?

KARIBUNI.
 
Hii mada nzuri ila majibu yake sina, hapa apatikane mtaalam wa kada ya afya, saikolojia na wengineo watatusaidia
 
1470028391009.jpg
hii kitu ni noma sana ndio maana inapoingia mwilini mwa mwanamke huweza kumvimbisha tumbo na kuwa kubwa kabisa huku
.akipata homa za kila mara
.kizungu zungu
.kichefuchefu
.kutapika
.hasira
.visirani
Na hatimaye kutoa kiumbe
Kwahiyo ni kakitu kadogo sana lakini kenye madhara makubwa mwilini....imagine sasa ziingie kwenye mwili usiokuwa na tumbo la uzazi
 
Sperm (manii) ya mwanaume yana kemikali (siyo sumu) inayomchangamsha mwanamke na kumwondolea sononi.Wachunguze wanawake wanaojiuza, ni wachangamfu sana.
 
sperm zina kemikali maalum na kila mwanaume ana aina ya kemikari yake ya kipekee ndani yake ambazo (kìimani na kisayansi na imethibitisha hili)kwa mwanamke kikawaida anatakiwa amwagiwe na mwanaume mmoja maisha yake yote duniani hali hii umnawilisha na kumpendezesha mwanamke na pia humjenga kuonekana mwanamke kamili mwenye sifa hasa ya kuitwa MWANAMKE (tangu dunia ianze mwanamke ni wa mume mmoja tu ila mume ni wa wanawake wote)

kinachowatia ukichaa wanawake wengi kama ulivyoeleza ni kitendo cha wao kuchanganya sperm za wanaume tofauti hapo ndo huwa kuna shida ndo maana mwanamke akiwa na mwanaume zaidi ya mmoja lazima aweuke tu kutokana na kuchanganya kemikari hizo 7bu kila mwanaume ana aina ya kemikali yake ndani sasa zikikutana na nyingne huwa shida.

Sperm zinaweza zikawa hai ukeni hata zaidi ya siku tatu lkn kutokana vitundu vidogovidogo vilivyomo ukeni zile takataka za sperm huchukua karibu miezi mitatu kuisha kabisa kule ukeni baada tendo la ngono moja

Jenga picha hawa kina MWAJUMA NIPE wanavyomix wanaume ndo mana unakuta wanawake wa sasa wanafanya mambo ya ajabu
kwa karibu 80% utafiti wako upo sahihi ndo mana sisi wazazi wetu wametulea vema 7bu walikuwa watulivu kwa baba zetu tofauti na wake zetu hawa wa sasa unaoa mke washapita karibu watu 10 na bado yupo ndani ya ndoa lkn anaendelea kugawa tu

Ukija mashoga lipo wazi kabisa ule UGILIGILI ukimwagiwa kwenye PURU uwa unabaki na kuleta muwashowasho hali hii upelekea kutotulia kwa mwanaume chunguza mashoga wengi wakikaa kwenye kiti au chini hawatulii wanahangaikahangaika tu kutokana na kuwashawasha kule kunako mpaka apate MKUNAJI ndo mana mtu akilawitiwa bahati mbaya umfanyia huduma hiyo ili kumasaidia asilowee katika hiyo michezo 7bu atajikunakuna lkn mwisho atahitaji MKUNAJI halisi hapo ndo huwa shida

Na mashoga wengi huu mchezo huanzia utotoni mwisho ukomaa
DUNIA ya sasa imehalibika sana nawasihi WAZAZI wenye watoto wa kiume muwa mnawakagua watoto wenu mara kwa mara mana dunia ya sasa mpango ni kuwa ya mashoga na wanawaandaa wtoto ili iwe vigumu kuacha jenga picha mtoto tangu yupo miaka 10 analawitiwa unafikili akifikisha miaka 20 hataacha huyo bila kumuangaikia sana

NB: USHOGA WA AINA YOYOTE UNATIBIKA HATA WA UWE WA MIAKA 20 TOFAUTI WA UHANITHI TU LKN HATA UHANITHI KM UNANIA UNATIBIKA PIA
 
sperm zina kemikali maalum na kila mwanaume ana aina ya kemikari yake ya kipekee ndani yake ambazo (kìimani na kisayansi na imethibitisha hili)kwa mwanamke kikawaida anatakiwa amwagiwe na mwanaume mmoja maisha yake yote duniani hali hii umnawilisha na kumpendezesha mwanamke na pia humjenga kuonekana mwanamke kamili mwenye sifa hasa ya kuitwa MWANAMKE (tangu dunia ianze mwanamke ni wa mume mmoja tu ila mume ni wa wanawake wote)
kinachowatia ukichaa wanawengi kama ulivyoeleza ni kitendo cha wao kuchanganya sperm za wanaume tofauti hapo ndo huwashida ndo maana mwanamke akiwa na mwanaume zaidi ya mmoja lazima aweuke tu kutokana na kuchanganya kemikari hizo 7bu kila mwanaume ana aina ya kemikali yake ndani sasa zikikutana na nyingne huwa shida.
Sperm zinaweza zikawa hai ukeni hata zaidi ya siku tatu lkn kutokana vitundu vidogovidogo vilivyomo ukeni zile takataka za sperm huchukua karibu miezi mitatu kuisha kabisa kule ukeni baada tendo la ngono moja
jenga picha hawa kina MWAJUMA NIPE wanavyomix wanaume ndo mana unakuta wanawake wa sasa wanafanya mambo ya ajabu
kwa karibu 80% utafiti wako upo sahihi ndo mana sisi wazazi wetu wanetulea vema 7bu walikuwa watulivu kwa baba zetu tofauti na wake zetu hawa wa sasa unaoa mke washapita karibu watu 10 na bado yupo ndani ya ndoa lkn anaendelea kugawa tu

ukija mashoga lipo wazi kabisa ule UGILIGILI ukimwagiwa kwenye PURU uwa unabaki na kuleta muwashowasho hali hii upelekea kutotulia kwa mwanaume chunguza mashoga wengi wakikaa kwenye kiti au chini hawatulii wanaangaikaangaika tu kutokana na kuwashawasha kule kunako mpaka apate MKUNAJI ndo mana mtu akilawitiwa bahati mbaya umfanyia huduma hiyo ili kumasaidia asilowee katika hiyo michezo 7bu atajikunakuna lkn mwisho atahitaji MKUNAJI halisi hapo ndo huwa shida

na mashoga wengi huu mchezo huanzia utotoni mwisho ukomaa
DUNIA ya sasa imehalibika sana nawasii WAZAZI wenye watoto wa kiume muwa mnawakagua watoto wenu mara kwa mara mana dunia ya sasa mpango ni kuwa ya mashoga na wanawaandaa wtoto ili iwe vigumu kuacha jenga picha mtoto tangu yupo miaka 10 analawitiwa unafikili akifikisha miaka 20 hataacha huyo bila kumuangaikia sana

somo zuri sana na atakuwa ameelewa.pia sperm ni viumbe hai aisee zina damu kbsa km kiumbe hai sasa ndo hivo vikiingia vikaavja kufanya kaz yake .zinafanya zingine ambazo ni tabu tupu
 
Fikra potofu ndo maana hatuendelei.
Shoga si anaanza kabla hajamwagiwa ndo anaatract wamwagie.

Nioneshe hao wanawake ambao ujasiri umepungua baada ya kumwagiwa sperm.
Bomba gani hilo wanapigwa waliolawitiwa?
 
sperm zina kemikali maalum na kila mwanaume ana aina ya kemikari yake ya kipekee ndani yake ambazo (kìimani na kisayansi na imethibitisha hili)kwa mwanamke kikawaida anatakiwa amwagiwe na mwanaume mmoja maisha yake yote duniani hali hii umnawilisha na kumpendezesha mwanamke na pia humjenga kuonekana mwanamke kamili mwenye sifa hasa ya kuitwa MWANAMKE (tangu dunia ianze mwanamke ni wa mume mmoja tu ila mume ni wa wanawake wote)
kinachowatia ukichaa wanawengi kama ulivyoeleza ni kitendo cha wao kuchanganya sperm za wanaume tofauti hapo ndo huwashida ndo maana mwanamke akiwa na mwanaume zaidi ya mmoja lazima aweuke tu kutokana na kuchanganya kemikari hizo 7bu kila mwanaume ana aina ya kemikali yake ndani sasa zikikutana na nyingne huwa shida.
Sperm zinaweza zikawa hai ukeni hata zaidi ya siku tatu lkn kutokana vitundu vidogovidogo vilivyomo ukeni zile takataka za sperm huchukua karibu miezi mitatu kuisha kabisa kule ukeni baada tendo la ngono moja
jenga picha hawa kina MWAJUMA NIPE wanavyomix wanaume ndo mana unakuta wanawake wa sasa wanafanya mambo ya ajabu
kwa karibu 80% utafiti wako upo sahihi ndo mana sisi wazazi wetu wanetulea vema 7bu walikuwa watulivu kwa baba zetu tofauti na wake zetu hawa wa sasa unaoa mke washapita karibu watu 10 na bado yupo ndani ya ndoa lkn anaendelea kugawa tu

ukija mashoga lipo wazi kabisa ule UGILIGILI ukimwagiwa kwenye PURU uwa unabaki na kuleta muwashowasho hali hii upelekea kutotulia kwa mwanaume chunguza mashoga wengi wakikaa kwenye kiti au chini hawatulii wanaangaikaangaika tu kutokana na kuwashawasha kule kunako mpaka apate MKUNAJI ndo mana mtu akilawitiwa bahati mbaya umfanyia huduma hiyo ili kumasaidia asilowee katika hiyo michezo 7bu atajikunakuna lkn mwisho atahitaji MKUNAJI halisi hapo ndo huwa shida

na mashoga wengi huu mchezo huanzia utotoni mwisho ukomaa
DUNIA ya sasa imehalibika sana nawasii WAZAZI wenye watoto wa kiume muwa mnawakagua watoto wenu mara kwa mara mana dunia ya sasa mpango ni kuwa ya mashoga na wanawaandaa wtoto ili iwe vigumu kuacha jenga picha mtoto tangu yupo miaka 10 analawitiwa unafikili akifikisha miaka 20 hataacha huyo bila kumuangaikia sana

NB: USHOGA WA AINA YOYOTE UNATIBIKA HATA WA UWE WA MIAKA 20 TOFAUTI WA UHANITHI TU LKN HATA UHANITHI KM UNANIA UNATIBIKA PIA

Kuna ukweli hapa
 
Sperm (manii) ya mwanaume yana kemikali (siyo sumu) inayomchangamsha mwanamke na kumwondolea sononi.Wachunguze wanawake wanaojiuza, ni wachangamfu sana.
Wale mbona wanavaa kondomu mkuu je huoni kua unajaribu kutudanganya masikini wenzako bila huruma...
 
Back
Top Bottom