Tetesi: Kuna uwezekano mtumbuo fulani hauko mbali

Tetesi: Kuna uwezekano mtumbuo fulani hauko mbali

comrade igwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
7,295
Reaction score
3,950
Wana jamvi

Tumekua na mahitaji mengi mno hasa ya uwekezaji na viwanda, kuboresha elimu nakadhalika kutokana na kauli tata juu ya hilo nabashiri kuna uwezekano mkubwa, mmoja ya watendaji akatumbuliwa, nabashiri tu lakini ubashiri una mambo yake
 
Inawezekana isipokuwa kwa wafuatao:
Joyce
Mwaijage
Paulo (mungu wa Bandari Salama)
Usiniulize kwa nini. Hiyo nakuachia homework
 
Wana jamvi

Tumekua na mahitaji mengi mno hasa ya uwekezaji na viwanda, kuboresha elimu nakadhalika kutokana na kauli tata juu ya hilo nabashiri kuna uwezekano mkubwa mmoja akatumbuliwa, nabashiri tu lakini ubashiri una mambo yake
Endelea kubashiri mkuu ,nenda pale m bet ubashiri match upate mkwanja maana unajifanya yahaya.
 
Sitashangaa wakija kukanusha na hili!!Wakati imeandkwa TETESI!!
 
  • Thanks
Reactions: mwl
Wana jamvi

Tumekua na mahitaji mengi mno hasa ya uwekezaji na viwanda, kuboresha elimu nakadhalika kutokana na kauli tata juu ya hilo nabashiri kuna uwezekano mkubwa mmoja akatumbuliwa, nabashiri tu lakini ubashiri una mambo yake
Kwenye serikali hii ya awamu ya 5 haitakiwi kueleza maono yako wala kufanya ubashiri wa jambo lolote lile..........

Ukitaka kujua ukweli wa jambo hilo muulize Godbless Lema.
 
Wana jamvi

Tumekua na mahitaji mengi mno hasa ya uwekezaji na viwanda, kuboresha elimu nakadhalika kutokana na kauli tata juu ya hilo nabashiri kuna uwezekano mkubwa mmoja akatumbuliwa, nabashiri tu lakini ubashiri una mambo yake
Sio imepata maono?
 
Sio rahisi kuwatumbua muhingo na mwijage. Yote wanayofanya wametumwa nayeye, yaan hao ni watiifu kwa sisonje
 
Back
Top Bottom