Kuna uwezekano Simba ndiyo club iliyokomaa zaidi kimpira Tanzania

Kuna uwezekano Simba ndiyo club iliyokomaa zaidi kimpira Tanzania

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
IMG-20241125-WA0011.jpg
images (44).jpeg
 
Simba ni wamatopeni kitambo Sana.
 
Bingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara nyingi zaidi huyo ndie mkomavu. Maana yake hana mshindani.
Na hapa si mwingine bali Yanga Sports Club baba lao.
 
Niliacha kushabikia Mambo ya Usimba na Uyanga

WOTE NI WAPUAMABAVU TU.

Wameshindwa kunufaika na Utajiri wa Mashabiki walionao.

SIMBA NA YANGA WALITAKIWA WAWE NA.
1. kombe la Klabu Bingwa Africa.
2. Uwanja wenye mashabiki elfu 90.
3. Viwanda zaidi ya Vitano.

4. Maduka ya jezi Tanzania Nzima.
5. Accademy za Maana na shule za Michezo
6. Kumbi kubwa za Mikutano na sherehe.

7. Hotel za kimataifa nyota 5.
8. Nyumba za wachezaji viongozi na Makocha.
9. Mtaongeza wenyewe.......
 
10. Kiwanda kikibwa cha kuzalisha kondom ili kutokomeza mimba za utotoni na UKIMWI
 
Bingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara nyingi zaidi huyo ndie mkomavu. Maana yake hana mshindani.
Na hapa si mwingine bali Yanga Sports Club baba lao.
Huo ubingwa ni wakina kayoko na sio wa yanga kama yanga,Kayoko anavikombe vyake vitano na wengine pia wanayo
 
Back
Top Bottom