Kuna uwezekano TCU kuongeza muda kwa waombaji?

Old Skuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
690
Reaction score
178
Mi nna mdogo wangu na alikuwa JKT katoka lkn time imebana vibaya mno cz vocha za TCU amehangaika kila sehem anaambiwa zmeisha.Kuna uwezekano zoezi likaongezwa kuwapa nafas waliokuwa mafunzoni kwa kuwaongezea muda wa kutuma maombi?
 
samahan ndg,una uhakika kwa hilo sababu dogo ana presha hatari mpaka saahizi,huenda km hii taarifa ni ya uhakika anaweza kujisikia vzr!!!
 
haina nouma Beautiful;kashapata na amekamilisha leo!!
 
Iv mtu anaeambiwa asubiri masaa72 ndio aendelee na process zingine hii inakuaje na ukicheki muda wa application umepita jana
 
mkuu mimi pia niko kundi hilo nasubiria sijui itakuaje

Pole yetu wote tuombe mung wakubali kuongeza
Lakin kuna friend wang yy aliapply wiki moja kabla ya mda kwisha ambayo jana na hajaletewa majibu toka alipoambiwa asubiri masaa 72 mpaka leo karibu two weeks sasa hajapewa majibu.majangaaa
 
mkuu jana wamenitumia email leo nitamalizia application
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…