Kuna uwezekano TCU kuongezwa muda kwa waombaji?

Old Skuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
690
Reaction score
178
Mi nna mdogo wangu na alikuwa JKT katoka lkn time imebana vibaya mno cz vocha za TCU amehangaika kila sehem anaambiwa zmeisha.Kuna uwezekano zoezi likaongezwa kuwapa nafas waliokuwa mafunzoni kwa kuwaongezea muda wa kutuma maombi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…