Tetesi: Kuna uwezekano wa DPP Kufuta kesi ya Mbowe na wenzake Leo

Hivi sheria nayoinatakiwa kusikiliza disclaimers au?
Maana kwa sasa naona kama mashabiki wana nguvu kuliko kocha kiasi kwamba kuna wakati kocha inaonekana anakuwa parcel ya mashabiki
Dunia hii inabadilika na inaenda kasi sana
 
Huyu mama ana matatizo ya akili kama mtangulizi wake, hawashauriki
 
Kwanini wamtoe WENYEWE hawataki .acha mahakama iamue
 
Wafute na waombe msamaha watz. Na wakiri ni nani aliyewashauri utopolo huo. Huwezi ukapata ushahidi kwa kesi za kubumba ni lzm watapishana tu
 
Kama hata maofisa wa polisi wana ua wa ajili 30m hapo kuna polisi tena kweli?? Halafu bado Siro yuko madarakani.. Hovyooo!!!
 
Hii kesi imetusaidia Sana kuwajua vinara wa wasiojulikana angalau familia za marehemu zitapata pa kuanzia.
 
Kwanini wamtoe WENYEWE hawataki .acha mahakama iamue
Wewe kweli ni mjinga. Nakuelewesha hapa ili upunguze ujinga.

Hawakusema kuwa hawataki Mbowe atoke bali Mbowe mwenyewe alisema hataki kutoka kwa kuomba msamaha wakati hana kosa.

Wengi wakasema pia ni aheri kesi iendelee kuliko kuomba msamaha wakati wewe unayeambiwa uombe msamaha ndiye uliyestahili kuombwa msamaha. La sivyo ni aheri kesi iendelee ili hawa majuha na mahakama yao ya mchongo wazidi kuumbuka.
 
Sasa mnachanganya hamueleweki.
Zito alimuombea msamaha mkasema zito mnafiki.
Ila Mimi nilikuwa upande wa zito.
JELA SIO KUZURI.ila wenye mwenyekiti wenu mlipinga mkataka mahakama iamue.
Basi tuache mahakama iamue Ila mkae mkijua siku zinaenda
Kuna kazi nyingi zinamsubiri.
 
Basi acheni mahakama iamue.
Mbowe anasema vipi Hana kosa wakati kesi IPO mahakamani ?
mahakama ndo itaamua Kama Ana kosa au la
 
piga uwa hii kesi isifutweeeeee………………………..
 
Sasa mnachanganya hamueleweki.
Zito alimuombea msamaha mkasema zito mnafiki.
Ila Mimi nilikuwa upande wa zito.
JELA SIO KUZURI.ila wenye mwenyekiti wenu mlipinga mkataka mahakama iamue.
Basi tuache mahakama iamue Ila mkae mkijua siku zinaenda
Anatakiwa akiri kosa la kufanya ugaidi na aahidi kutorudia kosa, aombe msamaha. Na unapoomba msamaha siyo lazima ukubaliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…