Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 714
- 1,193
Habari wakubwa, kuna laini nilikuwa natumia ya airtel sikuisajili kwa vidole (ilifungiwa), juzi hapa nimepata namba ya NIDA sasa kabla sijaenda kuikamilisha wezi wameniibia simu ambapo hiyo laini ilikuwa ndani niliiweka tu.
Kuna uwezekano wa kurenew laini ya namna hii?
Mwanzo niliisajili kwa namba ya mpiga kura.
Kuna uwezekano wa kurenew laini ya namna hii?
Mwanzo niliisajili kwa namba ya mpiga kura.