Kuna uwezekano wa kubadili 2zz engine kwenda 1zz

adsense master

Senior Member
Joined
Mar 12, 2019
Posts
107
Reaction score
175
Habari wakuu kuna uwezekano wa kubadili engine ya 2zz na kuweka 1zz bila ya kubadili control box na gear box? Na plan ya kuchukua mswaki wa 1zz
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1]
Sema hizi engine zimepishana perfomance tu sababu block ya 2zz ina upana kidogo kwenye vikorokoro vyake vya ndani na iko tuned kwa kwa ajili ya performance zaidi hivyo hata HP ziko juu kidogo!

Ila ukitazama kwa haraka zinaonekana zipo sawia tu so nahisi kwa kuwa ni Toyota inaweza isilete usumbufu sana kwenye control japo perfomance inaweza kuwa ya 1ZZ
 
Asantee

Back
Top Bottom