Kuna uwezekano wa kubadili logo za simu ikiwa inawaka?

Kuna uwezekano wa kubadili logo za simu ikiwa inawaka?

Rayns

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2023
Posts
3,620
Reaction score
7,818
Habari za wakati huu wana jukwaa la teknolojia,

Natumaini wote ni wazima.

Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye lengo la u-z-i.

Hivi kuna uwezekano wa kubadili logo za simu pale ikiwa inawaka, mfano badala ya kuandika "SAMSUNG" inapowaka, Nabadili naweka hata "BANDARI"

Nawasilisha karibuni sana

ㄏRaynㄏRayns
 
Back
Top Bottom