Zerock JF-Expert Member Joined Sep 3, 2026 Posts 853 Reaction score 1,701 Sep 23, 2026 #1 Huwa natamani sana kubadilisha majina yangu yote matatu,najua haitobadilisha kitu kutoka kwa mzee wangu,atabaki kuwa mzee wangu hadi kiyama. Je inawezekana au ni jina la kwanza tu..!?
Huwa natamani sana kubadilisha majina yangu yote matatu,najua haitobadilisha kitu kutoka kwa mzee wangu,atabaki kuwa mzee wangu hadi kiyama. Je inawezekana au ni jina la kwanza tu..!?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 Sep 23, 2026 #2 Ndio.
Expensive life JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 4,095 Reaction score 13,016 Sep 23, 2026 #3 Wamakuja wajuzi