Kuna uwezekano wa kuchimba kisima kwenye beach plots

Kuna uwezekano wa kuchimba kisima kwenye beach plots

Mahorii

Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
96
Reaction score
110
Habarini wakuu,

Tafadhali naomba kujua kama kuna uwezekano wa kuchimba kisima kwa beach plots ambazo zipo kama 400m toka beach.

Asante.
 
Habari za huko Kigamboni?
Habarini wakuu,

Tafadhali naomba kujua kama kuna uwezekano wa kuchimba kisima kwa beach plots ambazo zipo kama 400m toka beach.

Asante.
 
Ushapata majibu? Waone wakala wa kuchimba visima wa Serikali.
 
Inawezekana ukipata wataalum wazuri utapata maji baridi kabisa. Unajua wengi wanakosea kuchimba urefu mkubwa, kumbe maji baridi wala hayako mbali. Ukizidisha kuchimba ndio unapata chumvi.
 
Huwa Kuna kubahatiaha na si %90 update maji baridi.
 
Back
Top Bottom