M Mahorii Member Joined Jan 26, 2014 Posts 96 Reaction score 110 Mar 25, 2022 #1 Habarini wakuu, Tafadhali naomba kujua kama kuna uwezekano wa kuchimba kisima kwa beach plots ambazo zipo kama 400m toka beach. Asante.
Habarini wakuu, Tafadhali naomba kujua kama kuna uwezekano wa kuchimba kisima kwa beach plots ambazo zipo kama 400m toka beach. Asante.
fatherhood JF-Expert Member Joined Apr 22, 2021 Posts 537 Reaction score 556 Mar 25, 2022 #2 Wanakuja
edward93 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2015 Posts 562 Reaction score 1,347 Mar 25, 2022 #3 Inawezekana ila chumvi itkua kubwa!
Puna JF-Expert Member Joined Oct 9, 2013 Posts 2,551 Reaction score 4,454 Mar 26, 2022 #4 Habari za huko Kigamboni? Mahorii said: Habarini wakuu, Tafadhali naomba kujua kama kuna uwezekano wa kuchimba kisima kwa beach plots ambazo zipo kama 400m toka beach. Asante. Click to expand...
Habari za huko Kigamboni? Mahorii said: Habarini wakuu, Tafadhali naomba kujua kama kuna uwezekano wa kuchimba kisima kwa beach plots ambazo zipo kama 400m toka beach. Asante. Click to expand...
M Mahorii Member Joined Jan 26, 2014 Posts 96 Reaction score 110 Mar 26, 2022 Thread starter #5 Fiati said: Habari za huko Kigamboni? Click to expand... Ndio mkuu
Shangani JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 761 Reaction score 1,076 Apr 2, 2022 #6 Ushapata majibu? Waone wakala wa kuchimba visima wa Serikali.
Mrembo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2008 Posts 415 Reaction score 219 Apr 2, 2022 #7 Inawezekana ukipata wataalum wazuri utapata maji baridi kabisa. Unajua wengi wanakosea kuchimba urefu mkubwa, kumbe maji baridi wala hayako mbali. Ukizidisha kuchimba ndio unapata chumvi.
Inawezekana ukipata wataalum wazuri utapata maji baridi kabisa. Unajua wengi wanakosea kuchimba urefu mkubwa, kumbe maji baridi wala hayako mbali. Ukizidisha kuchimba ndio unapata chumvi.
wansawa JF-Expert Member Joined Oct 11, 2020 Posts 857 Reaction score 857 Apr 10, 2022 #8 Huwa Kuna kubahatiaha na si %90 update maji baridi.
Kobello JF-Expert Member Joined Feb 20, 2011 Posts 8,967 Reaction score 8,547 Apr 10, 2022 #9 wansawa said: Huwa Kuna kubahatiaha na si %90 update maji baridi. Click to expand... Ukipima hakuna kubahatisha, ni uhakika.
wansawa said: Huwa Kuna kubahatiaha na si %90 update maji baridi. Click to expand... Ukipima hakuna kubahatisha, ni uhakika.