Kuna uwezekano wa kufanya Malipo kupitia digtal wallets

divanology

Member
Joined
Mar 23, 2019
Posts
39
Reaction score
49
Kunauwezekano wa kufanya MALIPO kwa KUPITIA digtal wallets mfano PayPal au skrill bila kuwa na bank account?

Na kama uwezekano upo ni njia gani unaweza tumia?
 
Kunauwezekano wa kufanya MALIPO kwa KUPITIA digtal wallets mfano PayPal au skrill bila kuwa na bank account?

Na kama uwezekano upo ni njia gani unaweza tumia?
Tumia M-pesa MasterCard! Hawa jamaa wa voda wapo in partnership na BancABC....iyo Card itakusaidia either kudeposit au kuwithdrawal kutoka kwny izo digital wallets[emoji3577] So far iyo huduma haina ulazima wa kuwa na Bank A/C ila Laini yako ya voda tu mchezo umeisha
 
Shukrani kiongozi kwa kunifahamisha
 
hivi kunauwezekano wa kuwithdraw kutoka e-walet kama vile paypal kuja m pesa mastercard
 
hivi kunauwezekano wa kuwithdraw kutoka e-walet kama vile paypal kuja m pesa mastercard
Use Skrill to send money to friends and relatives, pay and play online or make quick and easy international payments to merchants. Open an account: Skrill | My Account

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…