Habarini wakuu, yeyote mwenye uzoefu juu ya hili naomba anijulishe, kwamaana najua kuna watu wengi humu wamesoma elimu ya chuo., vipi kuna uwezekano wa kulipa gharama za chuo(diploma in medicine) kwa mwezi? yaani unachukua jumla ya gharama alafu unazigawa kwa miez 12 kisha unalipa kwa kila mwezi., naamin wengi humu wana uzoefu wa vyuo ndo maana nimelileta hili kwenu.(chuo ni private)
yani unagawa kwa miezi 12 wakati muda wa masomo ni miezi 8?pia nijuavyo mimi fee inawezalipwa mara mbili mwanzo wa 1st&2nd sem