Ninapatwa na hasira sana ninavyoona watoto wanakua bila kuwajua baba zao, hivi kunakifungu chochote cha kisheria au kesi iliyofanyiwa maamuzi na mahakama juu ya hii hali? hebu tusaidiane kwa hili saizi hali mbaya vijana wanakimbia majukumu yao.
Huna haj ya kupoteza muda wako kwenda mahakamani bure, lea wanao akijua ana watoto atakuja hataki aache Ila ajue siku ya kuoa au kuolewa atakuwa mgeni mwalikwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.