Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,261
- 3,580
Habar members, Tangu nimeajiriwa yapata mwaka mmoja kazini, niliajiriwa kwa kupitia cheti cha diploma lakini wakati huo tayari nilikuwa mwaka wa mwisho masomoni kwa level ya degree. Hivyo kwa maana hiyo nilipata ajira kipindi nipo masomoni.
Swali langu la msingi, ni kuwa kuna uwezekano wowote wa kuomba kupandishwa cheo kupitia cheti changu cha degree kabla ya kumaliza ule muda uliowekwa wa kutumikia cheo kimoja kazini kabla ya kupanda cheo kingine?