Asante mkuuKuwa mpole, hakikisha juhudi na nidhamu zinaonekana hapo kazini.
Siku ikitangazwa kazi mpya ngazi ya degree na unaona kabisa unaimudu basi wape cheti chako....utapewa kipaumbele hiyo nafasi Kwa kuwa tayari ni mwajiriwa wao.
Hapa ndio Huwa naona raha ya kuwa na cheti Cha Diploma unaanzia kuombea kazi mengine yatakukuta hapo hapo kazini.
Hongera sana, subra muhimu mkuu
Okay ngoja waje.Kama kuna alternative ni vyema pia
Kaka ajira mpya zinapitia utumishi huko, hivyo nafikiri watafuata utaratibu wa PSRSKuwa mpole, hakikisha juhudi na nidhamu zinaonekana hapo kazini.
Siku ikitangazwa kazi mpya ngazi ya degree na unaona kabisa unaimudu basi wape cheti chako....utapewa kipaumbele hiyo nafasi Kwa kuwa tayari ni mwajiriwa wao.
Hapa ndio Huwa naona raha ya kuwa na cheti Cha Diploma unaanzia kuombea kazi mengine yatakukuta hapo hapo kazini.
Hongera sana, subra muhimu mkuu
Oh poleKaka ajira mpya zinapitia utumishi huko, hivyo nafikiri watafuata utaratibu wa PSRS
Serikalini kama ni halmashauri hauwezi kupandishwa daraja kama bado hujathibitishwa kazini pili hata ukithibitishwa kuna kitu kinaitwa ikama yaani upungufu wa nafasi kwenye hiyo idara unayotaka kuomba kama wana upungufu wa kutosha ukithibitishwa tu unaomba kuhamia idarani chap ila kama hakuna uhitaji sana utasubiria hata miaka mitatu toka uwasilishe cheti chako kipya ndo utafanyiwa categorization cha mwisho na msingi ni mahusiano yako na HR wako pamoja na mkuu wa idara hiyo unayotaka kuhamia kumbuka mkono mtupu haulambwi muda mwingine unajiongezaHabar members, Tangu nimeajiriwa yapata mwaka mmoja kazini, niliajiriwa kwa kupitia cheti cha diploma lakini wakati huo tayari nilikuwa mwaka wa mwisho masomoni kwa level ya degree. Hivyo kwa maana hiyo nilipata ajira kipindi nipo masomoni.
Swali langu la msingi, ni kuwa kuna uwezekano wowote wa kuomba kupandishwa cheo kupitia cheti changu cha degree kabla ya kumaliza ule muda uliowekwa wa kutumikia cheo kimoja kazini kabla ya kupanda cheo kingine?
Ni taasisi lakini pia ni idara hiyo hiyo nilipo sasa.serikalini kama ni halmashauri hauwezi kupandishwa daraja kama bado hujathibitishwa kazini pili hata ukithibitishwa kuna kitu kinaitwa ikama yaani upungufu wa nafasi kwenye hiyo idara unayotaka kuomba kama wana upungufu wa kutosha ukithibitishwa tu unaomba kuhamia idarani chap ila kama hakuna uhitaji sana utasubiria hata miaka mitatu toka uwasilishe cheti chako kipya ndo utafanyiwa categorization cha mwisho na msingi ni mahusiano yako na hr wako pamoja na mkuu wa idara hiyo unayotaka kuhamia kumbuka mkono mtupu haulambwi muda mwingine unajiongeza
Sawa kaka uko sahihi kabisa nilimaanisha hivyo ulivyonielewa. Ni kweli kabisa Degree niliyoipata inahusiana na ajira yangu. Nitafanyia kazi ushauri wako.Naona kama swali halijaeleweka Kwa wengi.
Nakujibu jinsi nilivyokuelewa, ukipata cheti chako cha degree andika barua ya kuomba kubadilishiwa mshahara Kwa kigezo cha kujiendeleza kitaaluma ,, hasa Kama degree uliyoipata inahusiana na ajira yako.
Vigezo vya kupanda cheo ni vingi na kujiendeleza kitaaluma ni kimojawapo,, na kukaa miaka minne kwenye cheo kimoja NI kigezo kingine kisichoathiri kigezo cha kujiendeleza kitaaluma