kuna uwezekano wa kuondoa kovu?

kuna uwezekano wa kuondoa kovu?

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,551
Reaction score
713
habari wana JF.

Mimi nimshiriki mzuri wa mchezo wa soka, mwaka jana nilipata mchubuko baada ya kuanguka nikiwa nacheza mpira na kidonda kilishapona kabisa ila kovu bado lipo na linaonekana jeusi. mimi ni maji ya kunde ila kovu ni jeusi na si kubwa. je kuna dawa waweza paka likatoka au likawa si jeusi??

Maoni yenu tafadhari.
 
Back
Top Bottom