Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,323
Niko chuo mwaka wa pili naingia watatu kumalizia degree yang nimegundua kuwa niko napenda course nyingine tena, and I can’t stop thinking about it, kwa hyo nauliza kama kuna uwezekano wa kuanza course mpya kwa institute nyingine Uku namalizia hii?