MR MLAWA
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 304
- 507
Habari wakuu, kuna rafiki yangu anafanya biashara fedha (Electronic money transfer) nikimaanisha Tigo pesa, Airtel money, Halopesa n.k.
Amekua akitumia kuandika records zake kwa kutumia daftari siku zote.Kila ikifika muda wa kufunga hesabu hutumia daftari na kujua taarifa za biashara.
Sasa akaona aulize kuna uwezekano wowote wa kuweka taarifa au recods za biashara kwa kutumia smartphone naomba msaada.