π , labda hiyo Simu inatumia window, But Thanks to Google π, with the professional Spreadsheet "Google sheet"Atumie Microsoft Excel ya kwenye simu
πβοΈπ―, Thanks to Google for Professional spreadsheet in our handsGoogle sheets
π π, kwani unaishi zama za mawe za kati mkuu,Simu kuzingua labda utake wewe, kuna backup system reliable kabisa siku hizi, thanks to Google Drive hata ukipoteza Simu nzima kila kitu chako kipo, lakini Daftari likiungua panya akila, mtoto akimwagia maji au lolote lile linalowezekana kutokea. Anyway Google wapewe maua yao π₯³kwa kutuletea spreadsheet program nyingine tena kiganjani Google sheet πDaftari ndio mpango mzima,simu ni rahisi kuzingua