Kuna uwezekano wa mimba hapa kweli?


asannte sana afrodenzi nimefARIJIKA KWA USHAURI WAKO lakini bado kama ana mimba inabidi niwe na wasiwasi na hii mimba kwa sababu sisi mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni tr 3/12 na zilikuwa sio siku mbaya kwake //kwa hiyo uwezekano wa kuchakachuliwa ni mkubwa tu hapa
 
Kwanini isiwezekane? DNA test kama una wasiwasi.
 

kwa kweli kama umetumia condom na maelezo yote umefuata ..
si dhani kama atakuwa mjamzito...
sasa hivi ndo wakati mzuri wakufanya pregnant test...
kwasababu tayari ni zaidi ya wiki mbili..
kama alifanya wiki iliyopita na ikawa negative afanye tena..
kwani pregnant test inaonyesha majibu sahihi wiki mbili baada ya tendo la ndoa..
mi na dhani tu mnaogopa bure si dhani ka ni mjamzito.. (labda tu kama condom ilitoboka au ulinunua wrong size.)
mi hizi condom naziaamini sana..
 
poa itabid kesho yufanye test na nitawaaimbia result..ila yeye anadai anatapika ndio maana ana wasi wasi
 
poa itabid kesho yufanye test na nitawaaimbia result..ila yeye anadai anatapika ndio maana ana wasi wasi

mmhh haya nasubiria hizo result kwa hamu lol
nway labda anatapika kwa ajili ya wale samaki ....lol
kutapika, sijui kusikia kichefu chefu mmhhhh haya ya kawaida tu...
nyie fanyeni hiyo test mmjue kama ndo hivyo au sivyo...
kila lakheri..
 

Always use condoms! Nenda kapime na Ngoma baada ya miezi 3
 
IVUGA, vipi bro, kwani nyie SIMBA , mkicheza boli mwataka matokeo yapi????, Magoli na Mabao sio?, Basi kumbuka "Every Action has a Responsibility!!!!!!"
 
IVUGA, vipi bro, kwani nyie SIMBA , mkicheza boli mwataka matokeo yapi????, Magoli na Mabao sio?, Basi kumbuka "Every Action has a Responsibility!!!!!!"[/QUOTE]

i agree with this and i know im responsible now
 
Kweli tarehe za mwezini na tarehe zinazo fata mwezi ni hatari ila hiyo theory yako ya mayai kupasuka, I am affaid sio hivo kabisa...
 

Duh hii kali!
 
condom ya nini wakati tulishapima tunajiamini sema hatujajiandaa tu kuwa na mtoto bado
<br />
<br />
Hamjajiandaa kivipi mkuu,kwani hadi mnafikia hatua ya kurukiana si mlijua risk ni kupata magonjwa ya zinaa,UKIMWI au mimba.,kama ni mimba wewe jiandae tu kulea mwana.
 



Ni kwamba mwanamke yai lake linaanza kutengenezwa ndani ovari kuanzia siku ya 3-5 tokea siku ya kwanza ya kuanza kuona damu yake ya hedhi,hivyo basi yai litakamilika au kuiva siku ya 13 na siku ya 14 yai linatolewa nje ya ovari hapo sasa linasubiri mbegu ya kiume kulirutubisha.Kwa upande mwingine mwanaume ana mbegu za aina 2 xy yani x-female na y-male mbegu ya x huwa ndiyo inayoishi muda mrefu than y,yani inakaa 48-72hrs,while y hukaa 24hrs only then hufa.hivyo basi kma wewe mwanaume ulikutana na mke kuanzia siku ya 10-17 tokea hedhi yake lazima anase.
 
<br />
<br />
Hamjajiandaa kivipi mkuu,kwani hadi mnafikia hatua ya kurukiana si mlijua risk ni kupata magonjwa ya zinaa,UKIMWI au mimba.,kama ni mimba wewe jiandae tu kulea mwana.

mkuu nishasema napima mara kwa mara na nipo safi ila mda wa kupata mtoto ndio bado sijajiandaa lakni akitokea no abort
 

Mkuu unatutamanisha tu.....mbona hukutushirikisha wakati unammega?
 
mbona mnamsanif mwenzenu,amesema UKIMWI anapima mara kwa mara.lakini mbona una wasiwasi kama mimba anayo isije ikawa ya kubambiukiwa.jee huyo msichana unamuamini kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…