Kuna uwezekano wa mimba hapa kweli?

mie nadhani unamshuku huyo binti haya weee labda anakupachika mimba ya mtu mwingine
 
uje uchukue elfu mbili kwangu mkacheki kwanza
 
mbona mnamsanif mwenzenu,amesema UKIMWI anapima mara kwa mara.lakini mbona una wasiwasi kama mimba anayo isije ikawa ya kubambiukiwa.jee huyo msichana unamuamini kweli?

siwezi kusema kuwa namuamini sana kivile kwa sababu tunakutana kila weekend kuanzia ijumaa hadi j2 ..week nzima kila mtu anaendelea na shuguli zake zaidi ni kuwasiliana tu
 

Kama kweli huyo dada aliingia katika hedhi tarehe 28, nathubutu kusema kuwa hiyo mimba siyo yako, anataka kukusingizia. Fungua "atachimenti" usome jedwali la uzazi wa mpango kwa njia ya asili. Kuna vitu nimekadiria ( I have assumed), kwa kuwa umesema ulifanya naye zinaa tarehe 3 na tarehe 4 na kwa kuwa mara ya mwisho kuingia katika hedhi kwa huyo dada ilikuwa tarehe 28, basi nahitimisha kwa kusema kuwa hiyo mimba siyo yako. Hii ni kwa sababu kama ulizini nae tarehe 3 na 4, basi itakuwa alimaliza hedhi tarehe 1 au 2 ya mwezi husika, hivyo siku kati ya 10 na 20 (inategemea na mwili wa mwanamke husika) ni siku salama kujamiiana, na kwa bahati wee ulikutana nae siku ya 3 na 4 tangu amalize hedhi yake tarehe 28.
Lakini kama hakuingia katika hedhi katika siku hiyo ya tarehe 28, inawezeka hiyo mimba ni yako.
Nakushauri umuulize vizuri huyo dada hedhi ya mara ya mwisho aliingia tarehe ipi, ukishapata jibu ni-pm ili nikupe maelezo zaidi.

Jedwali kwa ajili ya ivuga View attachment JEDWALI BINAFSI-SPECIAL FOR IVUGA CASE.doc

Jedwali kamili la njia ya asili ya uzazi wa mpango liko hapa

https://www.jamiiforums.com/mahusia...-asili-natural-birth-control.html#post1399274

Ni vizuri enyi kina dada na kina mama mkalipakua jedwali hili, litakusaidieni kupanga uzazi nyie na waume zenu. Kama hulewi jinsi ya kulitumia usisite kuni-pm au kuni-text katika fshemeji@yahoo.com, niko tayari kukusaidia.


 

asante sana mkuu
 

baba mtu wewe ni kali na nimekuelewa vilivyo ,,,hii kitu mi ndio nitapenda kuitumia manake binti hapendi kutumia madawa
 
baba mtu wewe ni kali na nimekuelewa vilivyo ,,,hii kitu mi ndio nitapenda kuitumia manake binti hapendi kutumia madawa

Poa, usisite kuni-pm kama una swali zaidi au unataka maelezo ya kina.
 
vipi mambo Ivuga??
Je mmefanya test??

amepima sasa hivi jioni tumekuta negative.asanteni sana kwa ushauri..idumu JF na member wake wabarikiwe wote..ila huyu binti nilivyomuona naona kama vile hajaridhika alikuwa anataka iwe positive kwa sababu hajaamini ikabidi tupima mara ya pili
 

mkuu kwenye hilo jedwali inamaan kapo kwenye k k k ni siku hatari nazo?
 

umejibu vyema.
azingatie kuwa umri wa binti nao unachangia kutotabirika. kuna tatizo la hormonal imbalance kwa mabinti wadogo, kwa hiyo ni kawaida kupata wasiwasi unapotembea na watotot wadogo. ila kama angetumia kondomu kwa ufasaha asingekuwa na sababu ya wasiwasi. heri wasiwasi wa mimba kuliko ukimwi
 

17 years girl
 
Acha kuwa na demu na kutoa promise kabambe zenye kuonyesha neema katika maisha. Ma demu wa kitaa sio. Analeta mimba kutoka kwa watunguaji. Kisa tu amejua umefika ufukweni katika zanzibar yake.
 
amepima sasa hivi jioni tumekuta negative.asanteni sana kwa ushauri..idumu JF na member wake wabarikiwe wote..ila huyu binti nilivyomuona naona kama vile hajaridhika alikuwa anataka iwe positive kwa sababu hajaamini ikabidi tupima mara ya pili

usijali hana mimba..
kama nilivyokueleza hapo awali...
maana tayari weeki mbili zimeshapita kama test imesema NE hawawezi kuwa PO tena...
nway kuwa mwangalfu next time maana umesha gundua hao wanajeshi wako
ni wakali sana ukiwa vitana ....take care , take it easy , take it slow AD..
 
asante sister manake nilikuwa na wasiwasi nilijua nishategeneza kiobama kidogo tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…